😁Sini wale mnao washangiliaga kwa kubinua vijambio juu kuwa wamesilimu .....😁 hakuna mkristo aliye isoma injili kisha akamfuata Muhammad na uislamu...kwa sababu injili ni bora mara 1000 ya msahafu na yesu ni muhadilifu mara 1000 ya Muhammad....ukiona mkristo kaacha ukristo na kuwa muislamu basi tambua kuwa huyo kuna maslai ya kidunia anayatafuta...siyo dini ya uislamu...waislamu tumieni akili tatizo mmezidi uanithi wa akili ...yani nyinyi mle daku saa 11 asubuhi kisha mnawaambia wasio waislamu kule Zanzibar wasile chakula kama nyinyi 🙄 kwani hao wasio waislamu walikuwa daku? Funga ya wazanzibar imehalibika kwa kufanya hivyo ....funga njema na ya haki ni ile iliyo andikwa kwenye torati na injili ..
WAISLAMU WAISLAMU WAISLAMU TUMIENI AKILI KITENDO WANACHOFANYA WAZANZIBAR HATA MUHAMMAD ANGEKUWEPO LEO ANGEWAAMBIA KUWA FUNGA ZAO NI BATILI ...UKIMSHURUTISHA ASIYE MUISLAMU KUTOKULA KWA SABABU WEWE UMEFUNGA MOJA KWA MOJA WEWE NI KAFIRI WA KIISLAMU NA FUNGA YAKO NI BATILI KWA MUJIBU WA DINI.
adriz FaizaFoxy Al-mukheef Bwana Utam Jagina Covax OHB11 ... swali kwanini ni haramu kushurutisha asiye muislamu kufunga naweza kutoa ilimu maana mimi naujua uislamu kuliko MUHAMMAD.