Mahitaji ya mwanamke na mwanaume katika mapenzi

who-are-we-women-what-do-we-want.jpg

Just rock to the melody, my brother.

​
 
Hayo maneno yako yote ni sahihi kabisa naona kwenye ndoa yangu hayapo ndio maana tunaishi ovyo ovyo. Kila mtu ananjia zake, hakuna kupendana, hakuna kusifiana wala participation sisi tunachojua ni tendo la ndoa tu, Dah ila mbaya sana hata ukiwa na wenzio huwezi kusema lolote juu ya mpenzi wako maaana hamshei lolote zaidi ya hilo la siri. Mungu tusadie.
 
kwa nini iko hivyo..mkae chini myazungumze muwekane sawa ..ili furaha na amani katika ndoa yenu vitawale ....tofauti na hapo hata umuhimu wa ndoa hiyo unakuwa haupo.....
 
Back
Top Bottom