Hahahahaha!!! sasa ningefia mbele hayo uyasemayo ungemwambia nani saa hizi?????
Acha usiwe na mtazamo hasi juu ya wanawake bhana, hakuna bin adamu mkamilifu.
nilipita juu juu sikuona pesa nikaongeza pesa... basi sawaha ha..kama kawaida yako ...pesa kwanza....
Lakini pesa inaingia kwenye namba nne.....Ulinzi (security) mwanamke anapenda kuhakikishiwa ulinzi na usalama wake kiafya, kihisia, na kiuchumi. Sio yeye tu bali na familia yake yote......
Aisee niaje lkn....ndugu yako atoto mzima?
Hahahahaha!!! sasa ningefia mbele hayo uyasemayo ungemwambia nani saa hizi?????
Acha usiwe na mtazamo hasi juu ya wanawake bhana, hakuna bin adamu mkamilifu.
hahaha!! basi usifie mbele tena maana bado tunahitaji mchango wako, ila tafadhali we mwanamke punguza mdomo.
swala la kuwaamini wanawake ntajaribu ila muwetayari kuupokea uzi wangu''nilimuamini, aliyonifanyia sitosahau''
Naona mmeanza kuwa kitu kimoja....mdogomdogo...safari moja huanzisha nyingine.........
haya yamekwisha mama, tusahau yaliyopita tugange yajayo.Wewe ulinichokoza, mimi mdomo natumia kulia chakula 95% kuongea 5% usipo nichokoza huwezi kunisikia.
Uwezi kuleta huo uzi zaidi ya kuja kunishukuru.
duuuuh..ni kweli kwamba huna imani kwa wanawake kwa kiasi hicho....
haya yamekwisha mama, tusahau yaliyopita tugange yajayo.
kweni unadhani staki kuwaamini wanawake? nataka sema roho inapingana na ubongo kwenye swala hili, ila sasa ntajaribu nione
personally kuamini mwanamke kwa kweli imeshindikana
money for a woman
money for a woman
with money yesYou are addicted
Mwanamke ninayemwani duniani ni mmoja tu: Mama yangu mzazi.
Kila kundi la wanawake lina wabovu na wazuri. Kuna watu ukiwatajia mama zao unaweza tandikwa risasi mchana kweupeee. Kuna wanaume wengine wanaamini wake zao kuliko wanavyojiamini wao. Tusigeneralize kila kitu.
Loh!!! kumbe unastress za kujeruhiwa na watu wakasonga mbele na maisha ndio maana majuzi ulikuwa unajazba sana na mimi kwenye ile thread. bila shaka unahitaji ushauri nasaha.
ha ha..kama kawaida yako ...pesa kwanza....
Lakini pesa inaingia kwenye namba nne.....Ulinzi (security) mwanamke anapenda kuhakikishiwa ulinzi na usalama wake kiafya, kihisia, na kiuchumi. Sio yeye tu bali na familia yake yote......
Aisee niaje lkn....ndugu yako atoto mzima?
ha ha wewe tena... nafikiri hasa hapo kwenye ulinzi wa KIUCHUMI..... we na ndugu yako miss chagga utafikiri mlizaliwa BOT