Mahitaji ya mwanamke na mwanaume katika mapenzi

Mahitaji ya mwanamke na mwanaume katika mapenzi

hahaha!! basi usifie mbele tena maana bado tunahitaji mchango wako, ila tafadhali we mwanamke punguza mdomo.

swala la kuwaamini wanawake ntajaribu ila muwetayari kuupokea uzi wangu''nilimuamini, aliyonifanyia sitosahau''

No wonder unaongea hayo, yo sooo negative,
Aliwazalo.......... ndilo linalomtokea, na mdomo huumba, so sie tunasubiri tu huo uzi.
 
Alafu ungeedit hiyo namba nne ikawa 1 aisee ili urahisishe usomaji.

tayari nishafanya hivyo..nimezingatia iliyokuwa namba moja ..sasa namba nne....kukubali mapendekezo
 
No wonder unaongea hayo, yo sooo negative,
Aliwazalo.......... ndilo linalomtokea, na mdomo huumba, so sie tunasubiri tu huo uzi.
its not about being negative minded, huo ndo ukweli wanawake hawaaminiki na kama wapo wa kuwaamini basi ni very few species, sasa kama niwachache kwanini niwaamini? lazima nichukue tahadhari.
 
Last edited by a moderator:
Hayo ni ya sinema za Soap opera (MEXICAN SERIES). Lakini in real life haiwezekani.
 
its not about being negative minded, huo ndo ukweli wanawake hawaaminiki na kama wapo wa kuwaamini basi ni very few species, sasa kama niwachache kwanini niwaamini? lazima nichukue tahadhari.

Mmmmh!! Basi kazi unayo, sasa kama huaminiki unategemea utampata anayeaminika kweli? Birds of the same feathers.........bora hata wanawake kwa kiasi kikubwa tunaaminika kuliko nyie duuuuh!!
 
Mmmmh!! Basi kazi unayo, sasa kama huaminiki unategemea utampata anayeaminika kweli? Birds of the same feathers.........bora hata wanawake kwa kiasi kikubwa tunaaminika kuliko nyie duuuuh!!
umeona ulivyokuwa hauaminiki? ushatugeuzia wanaume kibao.
 
MAHITAJI YA MWANAMKE: JITAHIDI KUMFANYA MPENZI WAKO AFURAHI


1.
Ulinzi (security) – mwanamke anapenda kuhakikishiwa ulinzi na usalama wake kiafya, kihisia, na kiuchumi. Sio yeye tu bali na familia yake yote.


2.Mazungumzo (conversation) – mwanamke huumizwa sana na vipindi virefu vya ukimya, sio tu kwamba wanataka mazungumzo bali mazungumzo yenye hamasa na mvuto


3.Kumwamini (trust) – mwanamke anakiu ya kuaminiwa, anataka mtu aliye muwazi, asiye ficha kitu chochote, anatamani umwamini na sio kuhofia kila anachokifanya au kumhofu kila aliyeko naye


4.
Mvuto na ukaribu (affection) – maneno na matendo yachochee mvuto na ukaribu, Kwamfano. Kukubali alivyopendeza, kumsifia nk

5.Ushirikishwaji ktk mambo ya familia (participation) – Sio kila kitu kinafanyika yeye hajuo, anaona tu vitu vinaenda kama vile yeye sio mmoja wa wanafamilia na mzazi. Mfano, anagundua unasomesha ndugu yako pasipo hata yeye kujua. Mwanamke anatamani kuona anashirikishwa katika yote yahusuyo nyumbani kwake maana kwake nyumbani ndiyo kitovu cha maisha yake zaidi ya kazi yake na marafiki zake


MAHITAJI YA MWANAUME:KILA SIKU HAKIKISHA ANAFURAHI



1.Kutoshelezwa ktk tendo la ndoa – kuambiwa umependeza, nakupenda kunaweza kumtosheleza mwanamke lakini sio mwanaume, yeye anahitaji kushiba tendo la ndo


2.Heshima – Mwanaume huyatafsiri matendo yote yanayoonyesha heshima kama upendo au penzi kwake, heshima hapa haijalishi umemzidi mume wako kiwango cha elimu, uwezo wa fedha, fursa au hata kujulikana. Wakati mwanaume anajukumu la kuonyesha penzi kwa mke wake, mwanamke hana budi kuonyesha heshima kwa mumewe.


3.Mwanamke anayevutia – jiweke safi, jitunze na uvutie ili kumfanya mume wako akutoshek


4.Kiu ya kuwa na nyumbani kusafi – pamoja na kwamba anaweza asiwe msafi kama wewe lakini ana kiu ya kuona kwake ni kusafi. Anatamani marafiki zake wavutiwe na kwake


5.Kiu ya kukubaliwa (admiration)
– pamoja na madhaifu yake bado anakiu ya wewe kutambua mchango wake na kukubali yote yahusuyo taaluma yake, uwezo wake na mafanikio yake. Heshimu na kubali mchango wake ktk familia

Dk. Chris Mauki






Kwa wanwake wetu jamii ya miss chagga na atoto what matters is number 1.....SECURITY precisely FINANCIAL SECURITY.
 
yaani wewe na atoto msingechangia humu ningeomba ban ya mwaka mzima.....tena mmechangia kwa mlengo wenu ule ule!!

Kwenye mada tamu na za maana kama hii naanzaje kukosa?

Kwa wanwake wetu jamii ya miss chagga na atoto what matters is number 1.....SECURITY precisely FINANCIAL SECURITY.

Kabisaaaaa, siku moja moja unaongea point!! Ndio maana nilimuambia aiweke namba moja.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom