PoliteMsemakweli
Member
- Nov 21, 2008
- 51
- 6
Tatizo letu tunafikiri kwenda bungeni ni kupato manufaa ya bure. Mahita hafai hata kidogo kuwa mbunge kama mwakilishi mkereketwa wa wana morogoro. Ushauri wangu kwa wana Morogoro msikubali kudanganyika!!!!
Katika hao wote ni afadhali Mstahiki Meya Prof. Ishengoma.
Kwa hiyo una m support? Na unaandika kabisa "anajaribu bahati yake" unamaana unaamini uwakilishi wa watu uende kwa kufuatana na bahati?
Attitudes kama hizi ndizo zinatupa viongozi tulionao, halafu wakiboronga tutalalamika?
anataka kugombania ubunge ameshindwa mtoto aliekamua kiunoni mwake huku jasho likimtoka???
Mahita kwani anataka nini jamani kama umaarufu anao...kama kiburi anacho kama dharau anayo kama kiinua mgongo akancho anataka nini??alisahau ??
You are damn right! Huyu jamaa hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi, the best person ni yule ambaye familia yake iko salama sasa huyu mtu anaweza kutembea na house girl..(shame) above all anakataa kutunza mtoto uhuni kh! wapi tunaenda wandugu.I beg to differ,
Kukataa mtoto ni irresponsibility ya hali ya juu ambayo mwanadamu anaweza kuifanya.Hata baadhi ya wanyama wanaosemwa kutokuwa na akili kama binadamu wanajua kutunza watoto. Waswahili wanasema damu nzito kuliko maji, sasa huyu aliyeshindwa kuitunza damu (mtoto wake mwenyewe) ataweza kuwaenzi watu baki (maji) ?
Fikra kama hizi za "kukataa mtoto na uongozi ni vitu tofauti" ndizo zinatupa viongozi kama kina Pinda na Kikwete.
Kama mtu hana discipline kiasi cha kufanya rape (mahakama iangalie kama anaweza kushtakiwa kwa statutory rape) tena kwa mfanyakazi wake wa ndani, unafikiri akipata nafasi ya kuwa rape wananchi wa Morogoro katika ufisadi atakuwa na discipline ya ku resist?
Sija question kama anaweza au hawezi kugombea, certainly this is a straight provision of his civil rights.What I am questioning is his ability to lead.These are two different things and should not be confused as one.
Anataka kuwarudi wabunge ngangari maana yeye ni ngunguri.Halafu baada ya ubunge njia ni kuwa waziri.Imagine! Mahita the minister!Duuh.Mahita kwani anataka nini jamani kama umaarufu anao...kama kiburi anacho kama dharau anayo kama kiinua mgongo akancho anataka nini??alisahau ??
Jamani hii inawezekana ikawa ni kichekesho kama kweli nimesikia jamaa anataka kugombania ubunge ameshindwa mtoto aliekamua kiunoni mwake huku jasho likimtoka ataweza wana morogoro zaiidi laki kadhaa???
Kukataa mtoto na ubunge ni vitu viwiwli visivyo na uhuhusiano kabisa.kama mtanzania na katiba inamruhusu atumie nafasi hiyo.
kweli wenye visa watu.