Mahingila wa BRELA nenda kajifunze RWANDA

G

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Messages
8,570
Points
0
G

Game Theory

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2006
8,570 0
Mahingila ambaye ni bosi wa BRELA anashauriwa aende Rwanda akajifunze

Kufungua kampuni Tanzania ni minimum mwezi mzima (maximum miezi 3)

Kufungua kampuni Rwanda ni dakika 25 (maximum dakika 30)

Ku search business name BRELA ni shilingi 30,000 (Rwanda ni free online)

Ku register kampuni Rwanda ni BURE

Ku register kampuni tanzania ni 300,000

sasa kama Mary Nagu na Lazaro wameshindwa kwanini Mahingila asiende kujifunza Rwanda?
 
J

J4MAYOKA

Senior Member
Joined
Jul 16, 2011
Messages
147
Points
0
J

J4MAYOKA

Senior Member
Joined Jul 16, 2011
147 0
Kwa nini ukitaka kuanzisha kampuni ukisearch jina online kwenye website yao kama lipo au la hawakubali wanataka uandike barua wakae nayo 3 weeks kisha wakujibu kama jina lipo au la.

Maana yake ni kuwa hii software ya bilioni 2 ambazo kazipitisha huyu jamaa haifanyikazi au?

why?
 
kookolikoo

kookolikoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Messages
2,570
Points
1,225
kookolikoo

kookolikoo

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2012
2,570 1,225
Ku search business name BRELA ni shilingi 30,000 (Rwanda ni free online)

si kweli. brela pia iko online!
 
W

warea

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2010
Messages
244
Points
0
W

warea

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2010
244 0
Tovuti ipo: BRELA

ila haina taarifa na huduma tuzitakazo:
1. Database haina taarifa za makampuni zote, kwa hiyo hata ukisearch hapo haina maana yoyote, mpaka uwapelekee wao wasearch wenyewe wanavyojua! Hata ukisearch TTCL utaambiwa hakuna kampuni kama hiyo Tanzania. "Company name Does not EXIST in our DATABASE!
"

2. Hakuna utaratibu unaoeleweka, hata gharama za kufungua kampuni ni za miaka ya nyuma sana! mpaka upate mtu wa kukuelekeza.

3. Inabidi ufunge safari uende Dar, hata ukiwa Dar ni mpaka uende ufisini kwao upeleke fomu ya maombi, ufuatilie kama jina halijagongana, kisha safari zinginge za kufungua kampuni.

Karibu ofisi zote za serikali zina tatizo hili.
 
K

KISUKALI

Member
Joined
Feb 28, 2010
Messages
70
Points
0
K

KISUKALI

Member
Joined Feb 28, 2010
70 0
Wakuu bado sana Huduma za Mawizara ni Ulevi mtupu, mara nyingi unaweza kudhani jamaa wanapepea rushwa, hata ukiwapa hali ni ileile Uozo mtupu na hakuna Idara hata moja yenye nafuu ni ubabaishaji tu. Hata wakasomee wapi ni kutupa pesa ya wavuja jasho na wao wakirudi huko ni zero tu. Hao BRELA wanadai kusajili kwao ni 3/5 days, pumbavu inachukua zaidi ya miezi 3 for what? I dont kwow...... Ati tunategemea kuinua uchumi na kushindana kimataifa. Mavi ya kuku.....................!!!
 
Lokissa

Lokissa

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Messages
7,381
Points
1,500
Lokissa

Lokissa

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2010
7,381 1,500
kufanya kazi kwa mazoea bila kuthubutu kubadilika
that guy wont change labda akitoka
Brela kama imeoza pae rushwa kutwa kucha
watu wana mijumba na mahekalu kisa rushwa
HEBU WAMULIKWE MARA MOJA.
 
A

arigold

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2011
Messages
600
Points
250
A

arigold

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2011
600 250
Bosi wa Mahingila ni nani?

Mwenye namba ya Mahingila ni nani?

Kamati ya Bunge iliyikagua hii BRELA inasemaje?

CAG report on BRELA mbona imefichwa?
 
C

chamgema12

Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
17
Points
0
C

chamgema12

Member
Joined Apr 2, 2012
17 0
Wakuu bado sana Huduma za Mawizara ni Ulevi mtupu, mara nyingi unaweza kudhani jamaa wanapepea rushwa, hata ukiwapa hali ni ileile Uozo mtupu na hakuna Idara hata moja yenye nafuu ni ubabaishaji tu. Hata wakasomee wapi ni kutupa pesa ya wavuja jasho na wao wakirudi huko ni zero tu. Hao BRELA wanadai kusajili kwao ni 3/5 days, pumbavu inachukua zaidi ya miezi 3 for what? I dont kwow...... Ati tunategemea kuinua uchumi na kushindana kimataifa. Mavi ya kuku.....................!!!
well said, loud and clear!
 
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Messages
17,070
Points
0
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2007
17,070 0
Tovuti ipo: BRELA

ila haina taarifa na huduma tuzitakazo:
1. Database haina taarifa za makampuni zote, kwa hiyo hata ukisearch hapo haina maana yoyote, mpaka uwapelekee wao wasearch wenyewe wanavyojua! Hata ukisearch TTCL utaambiwa hakuna kampuni kama hiyo Tanzania. "Company name Does not EXIST in our DATABASE!
"

2. Hakuna utaratibu unaoeleweka, hata gharama za kufungua kampuni ni za miaka ya nyuma sana! mpaka upate mtu wa kukuelekeza.

3. Inabidi ufunge safari uende Dar, hata ukiwa Dar ni mpaka uende ufisini kwao upeleke fomu ya maombi, ufuatilie kama jina halijagongana, kisha safari zinginge za kufungua kampuni.

Karibu ofisi zote za serikali zina tatizo hili.
TTCL ni kifupi tu na sio jina lililokuwa registered sasa unategemea kulipata vipi?
 
sir.JAPHET

sir.JAPHET

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2012
Messages
699
Points
170
sir.JAPHET

sir.JAPHET

JF-Expert Member
Joined May 18, 2012
699 170
Mahingila ambaye ni bosi wa BRELA anashauriwa aende Rwanda akajifunze

Kufungua kampuni Tanzania ni minimum mwezi mzima (maximum miezi 3)

Kufungua kampuni Rwanda ni dakika 25 (maximum dakika 30)

Ku search business name BRELA ni shilingi 30,000 (Rwanda ni free online)

Ku register kampuni Rwanda ni BURE

Ku register kampuni tanzania ni 300,000

sasa kama Mary Nagu na Lazaro wameshindwa kwanini Mahingila asiende kujifunza Rwanda?
tanzania imeoza! Naona zimwi la tanganyika limeamuka, brela wanataka kutajirikia kwenye sent ze2 zenye hyper inflation shaur yao na majealous yao
 
sir.JAPHET

sir.JAPHET

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2012
Messages
699
Points
170
sir.JAPHET

sir.JAPHET

JF-Expert Member
Joined May 18, 2012
699 170
brela, hamna jipya inabid uongoz wote uchakachuliwe 2anze upya sio wanakaa mule ofisin baadala ya ku2shughulikia wanachecheka fasbuk wanatoa macho twita bada ya ku2sajil fasta 2endelee na biashara ze2, na sio brela 2 , n pamoujer na ofis zingine za uma wanajifanya hii nchi ya kwao peke yao, hawataki kuwatatulia matatizo na kuwashughulikia watz mahtaj yao wanamapouz kwenye ofs za uma hawa vijakaz wa jk, kama wapo kwenye maonyesho ya big braza afr,kusin.. Pambaafu kabisa hawaaa
 
Tutafika

Tutafika

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2009
Messages
1,428
Points
1,250
Tutafika

Tutafika

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2009
1,428 1,250
Yote yako ndani ya uwezo wao, wanayajua siku nyingi, ni makusudi tu! Unaweza kuamini kwamba mfumo wa fedha taasisi zilizoko chini ya office ya rais bado ni manual? Accounting software kitendawili. Ni makusudi.
 
J

Jujuman

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2008
Messages
248
Points
0
J

Jujuman

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2008
248 0
kufanya kazi kwa mazoea bila kuthubutu kubadilika
that guy wont change labda akitoka
Brela kama imeoza pae rushwa kutwa kucha
watu wana mijumba na mahekalu kisa rushwa
HEBU WAMULIKWE MARA MOJA.
Lokissa;
Bahati mbaya hao WAMULIKAJI nao wanahitaji KUMULIKWA!! Aibu gani Nchi hiii.................!!
 
W

wimbi la mbele

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Messages
647
Points
195
W

wimbi la mbele

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2011
647 195
Fees Payable
REGULATIONS
________
Made under section 452
________
THE COMPANIES (FEES PAYABLE TO REGISTRAR) REGULATIONS, 2005
e to Registrar) 1. These Regulations may be cited as the Companies (Fees payable
Regulations 2005, and shall come into force on the date of publication.
Citation
2. In these Regulation, "the Act" means the Companies Act 2002.
Interpretation
Act No. 12 of 2005
he fees payable to 3. The Schedule to these Regulations has effect with respect to t
Fees : Registrar of Companies for the performance of his functions under the Act as follows
______
SCHEDULE
______
Function Amount
s: For the registration of a company having capital whose nominal share capital i
(a) not more than Tshs.20,000/= but not more than Tshs.500,000/= 50,000/=
(b) more than Tshs.500,000/= but not more than Tshs.1,000,000/= 80,000/=
(c) more than Tshs.1,000,000/= but not more than Tshs.2,000,000/= 100,000/=
(d) more than Tshs.2,000,000/= but not more than Tshs.3,000,000/= 120,000/=
(e) more than Tshs.3,000,000/= but not more than Tshs.5,000,000/= 150,000/=
(f) more than Tshs.5,000,000/= but not more than Tshs.10,000,000/= 180,000/=
(g) more than Tshs.10,000,000/= but not more than Tshs.30,000,000/= 200,000/=
(h) more than Tshs.30,000,000/= ..................................................................................... 300,000/=
2. For the registration of a company not having a share capital where the number of
members as stated in the Articles of Association:
(a) does not exceed 25 ...................................................................................................... 50,000/=
(b) exceeds 25 but does not exceed 50 ............................................................................ 60,000/=
(c) exceeds 50 but does not exceed 100 ......................................................................... 70,000/=
(d) exceeds 100 but does not exceed 150 ....................................................................... 80,000/=
(e) exceeds 150 but does not exceed 200 ........................................................................ 90,000/=
(f) is unlimited ................................................................................................................... 120,000/=50,000/= 3. For reservation of a company name .............................................................................
15,000/= .......... 4. For company name change ................................................................................
For the receipt and/or registration by Registrar of any document 5.
which under the Act is to be delivered to him ...................................... 15,000/=
6. For the late filing/registration fee to be paid to the Registrar of any
document delivered to him (per month or part thereof) ........................ 1,500/=
7. For filing of Annual Returns ................................................................. 15,000/=
8. For certification of any document, per page .......................................... 2,000/=
9. For making search in any file/perusal .................................................... 2,000/=
10. For obtaining a written search report per file ........................................ 15,000/=
11. Fees payable by a company to which Part XII of the Act applies:
(a) For the registration of certified copy of a charter, statute or
memorandum and articles of the company, or other instrument
constituting or defining the constitution of the company ......................... $ 500
(b) For registration of filling any document required to be delivered
to the Registrar under Part XII of the Act/other than the balance sheet .... $ 150
(c) For filling of Balance Sheet ....................................................................... $ 150
(d) For late filing/registration fee to be paid to the Registrar of any
document delivered to him out of time (per month or part thereof) ......... $ 15
GUIDELINES FOR COMPANY AND BUSINESS NAMES
APPROVALS
These guidelines outline the practices used by the Registrar in the process of approving
Companies and Business Names.
It also explains the rules and restrictions on the choice of companies and business names
both when they are formed on the first time and when there is a change of name.
Please note that:
Every company name must end with the word Limited or Public Limited Company
or Unlimited, depending on the type of the company.
• these are mere guidelines to guide applicants and not binding legal instruments
with a legal force.
• each application is dealt with on its own merits.
• τhe explanations below are neither exhaustive nor conclusive but merely aim at
giving indications of what is normally taken into account and that the Registrar
may be influenced by other considerations as well.
No name will be available for your use if it:-
(a) is the same as a name appearing in the index of company names;
(b) too like a name appearing in the index of company or business names;
(c) is undesirable.
(d) has already been reserved in the Companies Registry by another person.
(a) "same as"
"same as" simply means similar or exactly look alike.
Therefore if your name is similar to a name which is already in the companies or business
name indices it will not be accepted. 2
Take note that the similarity which is being referred to here includes similarities in
appearance, semantic and phonetic.
eg. (semantic) - Simba Investment Limited can not be registered if there is Lion
Investment Limited.

eg. (phonetic) - Wills Transport Company Limited can not be registered if there is already
Wheels Transport Company Limited.
(b) "too like"
Your proposed name will be regarded as "too like" a name in the indices if it nearly
resembles the one existing already such that there is a danger of confusion by the public
between the two companies/names
Eg. Tasmania Company Limited can not be registered if there is already Tasman
Limited
(c) "undesirable"
Undesirability encompasses many things. These include if the name:-
(i) connotes an insult or bad language to the society;
(ii) Suggests a connection with the Government or its Authorities;
(iii) Is offensive or its use will be a criminal offence;
(iv) Consists of a Registered Trade or Service Mark;
(v) Is misleading, that is containing a word which is contrary to activities of the
company, eg. "International" while it operates locally only;
(vi) Is suggesting to monopolize a generic name or name of a country or place, eg.
"Tanzania Company Limited" or Tanzania Limited cannot be registered.
(vii) Consist of purely personal names only.
 
B

businesslink

Senior Member
Joined
Mar 20, 2019
Messages
101
Points
225
B

businesslink

Senior Member
Joined Mar 20, 2019
101 225
Brela kuna siri nzito sana

I doubt Kama Rais anaweza kulitumbua hilo tatizo
 

Forum statistics

Threads 1,304,940
Members 501,612
Posts 31,532,311
Top