Hilo la kutoka kenya sina uhakika nalo, ila kwa malawi na zambia ni kweli, Kenya mara nyingi hununua na kusaga na kuuza unga, huwa hawauzi mahindi wao
sidhani kama ni kweli yanatoka zambia na malawi. ninavyojua hizo nchi zinanjaa na hutegemea mahindi toka nyanda za juu kusini. au alifikiri akikwambia yanatoka nje ya nchi utaona yana quality!?. maana wabongo kwa kuthamini vitu vya nje!.

Kwa hakika hakuna mahindi yatokayo Malawi kwenda Tanga.
Malawi/zambia siku zote mahindi wanachukua hapo nyanda za juu kusini, kwa sasa mahindi/unga ya Rukwa yanasombwa kwa wingi kwenda drc. Kama kenya nao wanaweza kuingiza mahindi Tz, basi yaweza kuwa ni ile hadithi ya nguzo za umeme.
Mkuu Malila Malawi inazalisha Mahindi kwa wingi na Kule kwao Kilimo kwanza kinatekelezwa kwa Vitendo sio huku Bongo na hata ishu za Mbegu na Mbolea za ruzuku kule wanafanya vizuri kuliko Bongo, Na Kenya wanachukua sana Mahindi Malawi kwa sababu kule hakuna vikwazo kama Tz
Huko Rukwa yanaliwa na panya kwnye vihamba kwa kukosa soko,na hurusiwi kuuza nje,CCM Oyee,Oyee !AsentiI salute u Wanajf! leo nimeshangaa sana, nilienda barabara ya 15 jiji la Tanga kupata huduma ya unga wa mahindi.Nilivofika nikamkuta mama mmoja wa kitanga nikamuuliza debe moja la mahindi ni bei gani akaniambia na nikamwambia nataka kusaga kabisa dona akanipa bei nikampa hela akaanza kusaga na baada ya muda unga ukawa tayar
Wakati nataka kutoka nikamuuliza haya mahindi ya sasa yanatoka wapi alichonijibu nilishangaaa san.Mama huyu anasema hapa Tanga mahindi tunayapata kutoka Kenya, zambia, Malawi na kwingine nimekusahau ila sio ndani ya TZ.nilichoshangaa ni kauli ya Mh Rais Kikwete akiwa Tabora juzi tu kwamba tuna chakula cha kutoshana hivyo hakuna wa kufa njaa.
Kama ndani ya tz mahindi hayatosh ma kulazimikakuagiza toka nje tutafika kweli au baadhi yetu tutakufa kwa njaa.
Nawasilisha, mwenye takwimu sahihi juu ya zao hili aje atujuze, tafadhali