Kuna mwanamke (alikuwa girlfriend wangu) niliachana nae baada ya mi kusafiri kwa muda mrefu,hata kuachana kwenyewe ilikuwa ni kwa kupoteza mawasiliano. Huwezi amini zaidi ya miaka mitano imepita lakini tukionana (nikienda mkoani) hana khiana na mimi kabisa,najishikia mkono tu na kumuelekeza kibla. Mbaya zaidi amekuwa demu wa ndugu wa rafiki yangu.
kiukweli kabisa haka kasentensi sikapendi hata kidogo.....
kila nikikasoma kananitia hasira
Hawaachani hadi mmoja afe!!!!!!
wanaachana sana
kujiendekeza tu some tym!!
toka nikusome nazipendaje comment zako
endelea kusoma uelimike
hahaaaaa!!
serious?
Hawaachani hadi mmoja afe!!!!!!
nilijua tu lazima utaniuliza swali hapa.......!!!!!!
ahahaa foleni from posta to mwanza bwana
ila sio kiporo cha ,mihogo mweeh hakiendi hata kwa maziwa
..wewe!!! eti? uwiiiiii!!!!!
jibu!!!!!!!!!!
Mara nyingi sana nimesikia wengi wakisema eti mahawara hawaachani! wazoefu tupeni ukweli ili tuanze kujihami mapema dhidi ya ma-Xs!
Umejiandaa kwa jibu lakini? Usije ukazimia.
jibu!!!!!!!!!!
si kweli and nachukia hizo story mie basi tu!!!!!!!
......teh ngoja ninyamaze dhangu!!!!!!