Ooyooo ni zuri sana hata huyo mke na wakweze watafurari ya mwana wetu kapata kibopa kumbe la kukodi na kwa hapa bongo huwa halifai kabisa ni sawa sawa na kuwakaribisha majambazi kwenye hiyo shughuli na badala ya cheriko huwa kilio
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.