nkungwe123
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 444
- 95
Hbr ya usiku wana MMU wenzangu!!!!
Mimi sijambo na hofu yangu ni kwenu mlio mbali nami.
Nina hoja moja tuu kwenu Leo hii, nayo ni kuwa
M A H A R I ina umuhimu gani ktk ndoa??? Je, inaweza leta madhara yoyote ktk ndoa??? Faida zake ni nini hasa???
Nipe kisa chochote ulichowahi sikia au kukiona kisicho cha kawaida kinachohusu mahari.
Naomba kuwasilisha!!!