Mahari ya Single Mom

Mahari ya Single Mom

Mwenyez Mungu Mwenyewe alimuumba Hawa akiwa hana mtoto kisha akamleta kwa Adam inamaana mfano huo hamuuoni tu.....unaanzaje kuoa single mother kijana na akili zako timamu ujue chakwanza huyo single mother atakudharau kimoyomoyo
aisee.una uzoefu katika hili?
 
mzee kubakwa ni kesi nyingine.aliyebakwa hajafanya huo uzinzi unaosema
N uzinzi tu.
Wanaume tusipofikiri uzinzi tutabaka?
Wanawake wasipotuvalia viguo vyao vile tutawabaka?
Wanawake wakiacha minyodo tutawabaka?

Shilole kwa mfano unavyohisi alibakwa bahati mbaya? Na kama ilikuwa bahati mbaya why leo yuko hivi anakaa utupu, analiwa na wadogo zake, anamdomo mchafu why bro?
 
Jamani .....tuwe na Soni ya maneno yani mwanamke kuzaa amekuwa kopo? Hata Kama sio matumizi sahii ya maneno.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu rolla usinielewe vibaya tafadhali,akizaa ndani ya ndoa huyo ni wa kuheshimiwa sana tena sana but akizalia kwa baba yake hakuna namna nyengine ya kumuita zaidi ya hivyo.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Msitake kujifanya Kila mtu ni msafi jamii forum, wapo watu humu Wana ma background yao nyuma yakutisha ili wamefyata mkia, wapo watu wamelelewa na masingle mother Ila wanajsahaurisha,wapo watu humu wameacha mama zao vijijini wakiwa wametelekezwa na waume zao na msururu wa wadogo zao Ila wanajsahaurisha, wapo watu wamelelewa na baba ambao sio wa kuwazaa humu, ushukuru unalijua Hilo, alafu Leo useme single mother sio afai mlitaka uyo mtoto akamtupe chooni? Mje kusema wanawake Wana roho Mbaya? Mlitaka akatoe mimba mpate lingine la kuongea? Lipi jema kwenu? Shida yao ni kwenda leba na kuleta kiumbe dunian? Au shida ni kulea mtoto bila baba? Kama wewe hutoweza kuoa single mother yupo ambae ataweza kumuoa na kumpa ya thamani yake Kama wanawake wengine. Kama binti zenu wakizalishwa nyumbani muwe na msimamo huo huo wa single mother kutoolewa muendelee kuvuna mloyapanda Kama mnaona ni sawa, Mwisho wa siku maisha ni haya haya hakuna maisha mengine, #ishi unavyoweza

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuoa single mother ni sawa nakunnua kiwanja chenye mgogoro
 
mkuu sina mke na ikitokea nikapata single mom nikamuelewa naoa coz sioi status yake naoa mke, siwezi kumudharau kisa ni single mom saa zingine ni bora alee mtoto peke yake kuliko kuishi na mwanaume mpumbavu, Mimi nalea mwanangu baada ya kugundua nataka kuoa malaya jaribu kupata picha hii kitu ingekua vice versa angekubali tu ili asiwe single mom?

Sent using Jamii Forums mobile app
images-8.jpg
images-8.jpg
 
Usimpige risasi nipe kazi ya kumroga. usukumani wapuuzi kama hawa marufuku kuja.

Ntumbavu sana masingomama

Masingke mom ukichunhuza vizuri akili zao zinakuwa haziko sawa yani kila bwana akimtokea lazima atanue tu

Sijawahi kuwakubali masingle mom hata kidogo maana madishi yao kidogo huwa yameyumba sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masingke mom ukichunhuza vizuri akili zao zinakuwa haziko sawa yani kila bwana akimtokea lazima atanue tu

Sijawahi kuwakubali masingle mom hata kidogo maana madishi yao kidogo huwa yameyumba sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna baba yetu mdogo mwaka 2006 alioa mwanamke aliyezalishwa alikuwa mzuri sana, baba mdogo alipeleka ng'ombe 7 na bado akawa anadaiwa watatu.
Kilichokuja kumkuta 2011 hatakisahau maisha yake yote huko aliko.
 
Napendekeza masingle mother wawe kusaidia maisha tu kwa matumizi sio ndoa siwezi kushindana na kiumbe kilichokimbia km nyingi wakati mwenzio hata nusu sijafikisha
 
.nini kilimkuta?
Alianza kuchapiwa na bwana aliyemzalisha bila kujua, mwanamke alikuwa akimuhudumia huyo bwana kwa pesa anazopewa na baba mdogo.
.
Walikubaliana mtoto akae kwa baba ake, ila mtoto akaletwa na akaanza kumlisha yeye haya yasingemuumiza sana maana alikuwa tahira toka mwanzo kuoa single mother.

Kubwa kuliko ni pale alipoanza kutembea na wanaume wa eneo walilokuwa wakiishi single mother huwa wagumu dakika ya kwanza pekee kati ya tisini alitaka kujiua akaponea mirembe baba mdogo.
 
Mkuu hivi unajua kuna mademu wanatoa wameshatoa mimba kibao ..nahuyo ndio unaenda Oa?Yupi bora, Alotoa mimba zaidi ya tano Ila hana mtoto... Au aliye pata mimba moja naakamua kuzaa ?.

Ukishamwelewa MTU ,hata km amezaa Toa mahari ya kujitosheleza.

Nenda Ukuryani, Uone Jamaa wanavyotoa mahari, wanalipia Mke, wanalipia Watoto kutumia Ubini wake.

Sasa nenda nakapua kako eti unataka Mtoto wako Hahahahaha.... Utabakisha Kinyeo mlangoni
Hii nimeipenda Mkuu. Tena Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alianza kuchapiwa na bwana aliyemzalisha bila kujua, mwanamke alikuwa akimuhudumia huyo bwana kwa pesa anazopewa na baba mdogo.
.
Walikubaliana mtoto akae kwa baba ake, ila mtoto akaletwa na akaanza kumlisha yeye haya yasingemuumiza sana maana alikuwa tahira toka mwanzo kuoa single mother.

Kubwa kuliko ni pale alipoanza kutembea na wanaume wa eneo walilokuwa wakiishi single mother huwa wagumu dakika ya kwanza pekee kati ya tisini alitaka kujiua akaponea mirembe baba mdogo.

Ndiyo maana napenda kuwashauri vijana wasioe hizi ndama zilizozalishwa zikaachwa maana siku zote mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine huwezi kumzuia huyo kumpeleka mtoto kwa baba yake mzazi sasa hapo huoni kuna mambo ya ngono yatakuwepo tu kati ya hao wazaZi wawili

Ukioa mwanmke aliyezaa wewe jiandae tu kuchapiwa na huyo bwana aliyemzalisha tena kiurahisi na bila kuibia maana atakuaga anampeleka mtoto kwa baba yake

Hakuna uhusiano kati ya umalaya ni single mom, malaya ni malaya tu no matter what

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahari ya single mama inatakiwa itoke kwa wazazi wake japo waseme asante kwa kijana atakaebeba hilo kopo.

Kununua engine mbovu iliyoshafanyiwa overhaul ni ujinga na utadharaulika na hata ndugu wa mkeo even yeye mwenyewe atakuona boksi

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Duh waonee huruma yaanu una roho ngumu kama trump
 
Back
Top Bottom