Mahari ya harusi ikatwe kodi ya TRA

Mahari ya harusi ikatwe kodi ya TRA

Tobaa! mbona kipato kile ninachopata kwa kutoka kwa baba chanja hakijadaiwa kodi? tena yeye ni mtumishi wa TRA? fafanua zaidi, labda si mapato yote... mimi nilidhani yale ya biashara tu.

Sijakuelewa...

Baba chanja ndio nini?
 
Bora nioe mapema... hukawii kusikia bajeti ijayo maSISIM yakafanya kweli
 
teana wasifanye 20% ... VAT ya nahari iwe 50% kwa sababu hazichelewi kuvunjika
 
Mkuu
Kwani kule ulikosema kwenye ng'ombe mmoja walipie pesa kwani wao walitowa pesa kwenye mahari?
Kiatu ndio cha bei mbaya lakini si unatumia njia ya kuendea miguu sio barabara za magari,
Kwanini hatuwatozi kodi wale wauza karanga humu mjini? shoe shine? Hapo nilikuwa ninafanya jokes tu Mkuu

Kama kodi kwanini magari yanayoingia mjini yasilipie kodi isipokuwa magari ya biashara? hata usumbufu wa foleni utapungua, vituo viwekwe Buguruni, Kurasini na Kinondoni kuelekea mjini

Una

Aisee .....

Huyu nae hajui kama kiatu alichokivaa amekilipia kodi
Hajui kama barabara nazo zinalipiwa kodi

Nchi hii sijui ina watu wa aina gani tu!
 
Hadi wapate wanunuzi? Unadhani kwa nin Majembe wana yard ya magari? Kwani wanauza magari wale?

Lazima kuwe na mahali pa kuzifikishia kwanza kabla ya kuuzwa.

Kweli kabisa umeishia hapo?

Kama ni ng'ome 18 haziwezi kuuzwa?

Kama ni ng'ombe mmoja wahusika hawawezi kulipa fedha?
 
Huwa naskia kuna baadhi ya tamaduni mahari udi, kama wamepewa kale ka udi ka mjiti, inabid waje na rula kupima urefu wa 18%. Unakuta wafanyakazi wa TRA kitengo cha kodi wananukia udi tu.

teana wasifanye 20% ... VAT ya nahari iwe 50% kwa sababu hazichelewi kuvunjika
 
duu yan wew unachunguza vitu aisee kwan wew ni mwanauchumi ama
 
Hadi wapate wanunuzi? Unadhani kwa nin Majembe wana yard ya magari? Kwani wanauza magari wale?

Lazima kuwe na mahali pa kuzifikishia kwanza kabla ya kuuzwa.

Sawa,tatizo nini wakiwa na zizi na bucha?
 
Kule Simiyu, SHinyanga, Mwanza, Mara na mikoa ya jirani itabidi wajenge mazizi ya ng'ombe wafungue na mabucha ya kutunzia nyama.

Mahari ngombe 100, TRA wanapewa ng'ombe 18. Kama mahari ng'ombe mmoja, wanapewa mat.ako ya ng'ombe, raha kweli.

Hahaahahah kwa hyo mat.ako ya ng'ombe ni asilimia 18 ya ng'ombe mzima? Hahahahahhahaa
 
Moja ya sheria muhimu ya nchi ni PAYE (Pay As You Earn).

Naona nchi yetu inapoteza pesa ambazo zingetumika kununua madawati na kulipa mishahara kwa walimu.

Kuingiza pesa bila kulipa kodi huko ni kuhujum uchumi wa nchi, nadhani mnafaham adhabu ya kuhujum uchumi ipoje nchini kwetu.

Mimi kama MCHUNGUZI HURU napendekeza TRA ianzishe utaratibu ambapo kila familia itakayopokea mahari kwaajili ya harusi wakatwe asilimia 18 ya pesa hizo.

ASANTENI
MCHUNGUZI HURU

Na wewe kila round na starehee unayoipata kwa mke uilipie mapato.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nashauri
Kuanzia kuwe na kulipia kodi ya kiatu unachovaa kiatu cha bei mbaya ulipie tax kubwa kanadambili shilingi 100 peku peku mwisho barabara ya Msimbazi

kama kumbukumbu ziko sahihi tulikuwa na kodi ya kichwa sijuwi imeishia wapi ile

Mzee Agustino Lyatonga Mrema si aliifutaga. Duuh hii kodi ilikuwa bhaalaaa!
 
wazo zuri lakini ni hafifu sana. Tatizo sio vyanzo vipya tatizo ni hivyo vilivyopo vinakusanywa kwa umakini kiasi gani? matumizi ya mapato ni sahihi au ndio vitafunio vya chai ya wizara milioni miambili wakati jamaa wanalipwa pesa nzuri tu.

Mahali ni zawadi kutoka kwa mwanaume kwenda kwa wazazi wa mwanamke. Kwa maana hiyo zawadi zote lazima zilipiwe kodi. japokuwa wengi wamejisahau na kufanya ni lazima.

vipi kuhusu sherehe za Ndoa ambazo hugarimu mamilioni tena yote yanaunguzwa kwa masaa kadhaa tu. bora ungeshauri huku.

vipi kuhusu misamaha ya kodi kwa mamilionaire huku wakina mama zetu wanakesha wanakimbizwa na tra mitaani ili walipe kodi hata kama wamepata hasara.
 
Kule Simiyu, SHinyanga, Mwanza, Mara na mikoa ya jirani itabidi wajenge mazizi ya ng'ombe wafungue na mabucha ya kutunzia nyama.

Mahari ngombe 100, TRA wanapewa ng'ombe 18. Kama mahari ng'ombe mmoja, wanapewa mat.ako ya ng'ombe, raha kweli.

kwanini TRA wapewe mat.ako na sio labda upaja mmoja?
 
Back
Top Bottom