Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,285
- 108,305
MCHUNGUZI HURU - "Mahari ya harusi" ni nini?
Swali zuri...
MCHUNGUZI HURU - "Mahari ya harusi" ni nini?
Kule Simiyu, SHinyanga, Mwanza, Mara na mikoa ya jirani itabidi wajenge mazizi ya ng'ombe wafungue na mabucha ya kutunzia nyama.
Mahari ngombe 100, TRA wanapewa ng'ombe 18. Kama mahari ng'ombe mmoja, wanapewa mat.ako ya ng'ombe, raha kweli.
Moja ya sheria muhimu ya nchi ni PAYE (Pay As You Earn).
Naona nchi yetu inapoteza pesa ambazo zingetumika kununua madawati na kulipa mishahara kwa walimu.
Kuingiza pesa bila kulipa kodi huko ni kuhujum uchumi wa nchi, nadhani mnafaham adhabu ya kuhujum uchumi ipoje nchini kwetu.
Mimi kama MCHUNGUZI HURU napendekeza TRA ianzishe utaratibu ambapo kila familia itakayopokea mahari kwaajili ya harusi wakatwe asilimia 18 ya pesa hizo.
ASANTENI
MCHUNGUZI HURU
Sawa,tatizo nini wakiwa na zizi na bucha?
Hahaahahah kwa hyo mat.ako ya ng'ombe ni asilimia 18 ya ng'ombe mzima? Hahahahahhahaa
Akiki ya mtanzania....
Madini yanabebwa eenyewe wanawaza kodi ya mahari
#kongosho una mambo sana weye,kwahiyo afisa wa mapato akikuaproch utampa PANONO????
Akiki ya mtanzania....
Madini yanabebwa eenyewe wanawaza kodi ya mahari