KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,766
- 39,526
Ukatili dhidi ya wanawake hautakoma maana mtu kila akifikiria mahari aliyolipa ndio anazidi kuongeza kichapo kitakatifu........
Mahari haiwezi kuwa kipimo cha thamani ya mwanamke bali wazazi na walezi watakuwa na maana kama watamlea mtoto wao katika misingi ya maadili mema ili aweze kudumu kwenye ndoa..na sio kutanguliza mahari kubwa ili hali binti yao ana matabia ya ajabu...
Wanawake wanaopigania usawa wa jinsia wangeanza kupiga vita hili suala la mahari. Dhana ya kwamba mwanamke ananunuliwa inaleta madhara katika ndoa/uhusiano. Najua kuna pengo kubwa kati ya vijana wa sasa na wazazi wanaotaka kudumisha mila. Kwa wengine si suala la mila ila uchumi. Kazi tunayo!
Matabia ya ajabu ndio yamemvutia muoaji hadi kukubali kulipa hiyo mahari kubwa.
Sio kashaoa kwa uchungu wa mahari yake ajidai eti mitabia ya ajabu.
Hiyo Milion 5 Labda Kama Naoa Na Mama Mkwe!!! hapo si napandisha msingi kabisa....
Wanaume mnataka kuuza nafasi yenu.
Bora kusiwe na mahari ili iwe KUOANA.
Mtumishi wewe ungenitolea mi sh ngapi lol. Anyway 5m ni kubwa kama jamaa hana uwezo. Kwa wengine hiyo anaimudu. Mimi binafsi sipendi kunyanyasika, mahari ya hivyo sitaki