Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,036
- 168,676
kisheria sijui...
ila najua haina shida hiyo harusi, watapeana mimba kwa bluetooth
watazaa kwa kudownload, wataishi kwa ukaribu kwakutumia wi-fi

Kwa hiyo wewe umeziona ndogoHuyu baba ni pnguani ama hamnazo?
5Mil ndio zimemsahaulisha shida zake?
Kweli hamna dhambi mbaya kama umasikini, na usiombeee umasikini wa kipato ukichaganyika na ule wa fikra, yaani ni hatari tupu
Jamani,
Jana nilialikwa kwenye sherehe ya kupokea mahari.
Nikiwa kama mjomba wa anayetarajiwa kuolewa, bwana harusi alisema atatuma mahari kwa njia ambayo ilimuwezesha kukutana na binti yetu.
Alisema walikutana kwenye facebook, hivyo mahari atatuma kwa M pesa na harusi watafuna online.
Bwana harusi yuko Mwanza ambako anafanya biashara zake huko.
Baada ya baba wa binti kupata mashaka, bwana harusi akatuma shilingi milioni tano akitumia laini ofauti tofauti, baba akaingiwa na imani, na anaona ni jambo jema kufanya harusi ya kihistoria.
Hivi ndoa kama hii (iwapo itafungwa onine) je itatambuliwa kisheria?
Nimebaki na maswali mengi ambayo baada ya kujazwa mapesa, baba wa binti kaacha kujiuliza, na anasubiri kwa hamu mwanawe aolewe

na ku do wata DO online!!!!!
Huyu baba ni pnguani ama hamnazo?