Sabah al-kheyri wanaJF, Mara nyingi utamaduni wa kutoa na kupokea mahari huwa baada ya makubaliano kati ya wazazi wa bi Harusi(binti) na Bw.harusi au wahusika wake, Mwenye kupokea mahari huwaga wazazi wa bi.harusi hapo sasa Bi harusi anaambiwa figures tu lakini listi ya programu za shughuli ndizo zinakula mahari yote.[ ..... Sasa hapa kuna faida gani kwa wazazi kama mahari yote itapotelea kwenye hizo programu za shughuli?
Na'am, Bi Munkari tamaduni zapishana, Kutokana na hali halisi yakuwa wazazi huona BINTI yao kafaikiwa Mume nao kupata mkwe (ufahari ndani ya ukoo) hiyo
kwanza ni hadhii ! kwakuwa bidhaa hii imejaa mjini ambayo inaushindani mkubwa
Pili Money(mahari) sii lolote mbele ya mwali wao kufurahia harusi yake
THE DAY (hiyo kiuswahili ni hadhii na heshima)
Tatu, huwaga hawuzi binti kujitajirisha ndo maana wapo kama walivyo...
"Natamani maBinti wetu wote wapate Waume wema" na "Vijana wetu wote wapate Wake wema" AMIN