Ni kitu kinachomaanisha umiliki wa huyo mwanamke, si lazima kiwe na thamani kubwa ya kipesa, chochote tu
anaweza akatamka mwanamke mwenyewe au wakapendekeza wazazi, ila wazazi wengi wanachukulia kama kitega
uchumi!!
Kutokana na hilo ndio mwanaume anaweza kushindwa au kuchelewa kumuoa mwanamke kwa muda muafaka!
Kuna haja kwa jamii kubadilika, ili kurahisisha mambo ya ndoa kwa wale wapendanao !!