Maharage Chande, Anza na hili huko TTCL

Huko TTCL Ni pagumu sana maana TTCL wakibadilika wakafanya vizuri hizi kampuni nyingine zinafunga virago asubuhi...vita anayoenda kukutana nayo ni kubwa sana na kubaya zaidi vita yenyewe adui yupo ndani na nje ya taasisi.
Na ndio sababu iliyomtoa Engineer Peter Ulanga. Mkakati wake wa fiber to the home ambao pamoja na kwenda kwa mwendo wa kinyonga kutokana na Serikali kama Shareholder kukataa kuwekeza bado ni tishio kwa washindani. Ni dhahiri Peter Ulanga alikusudia kuwamaliza wote hao kina Tigo na wenzie.
Kwa vyovyote vile Peter Ulanga ameondolewa TTCL kwa fitna za hao hao kina Rostam wa Tigo na wenzao wa mitandao mingine
 
Duh!
 
Hivi bado tuhahitaji personal landline connections.... Kama za majumbani?
 
TTCL AU POSTA,
INAWEZA KUWA KUBWA ENDAPO ITAKUBALIWA KUSIMAMIA SHUGHULI ZA KIPOSTA YAANI SHUGHULI ZA VIBAHASHA NA VIFURUSHI,KWA NJIA YA ANGA AU USAFIRI WA ARIDHINI,
-POSTA NDIYO ILIPASWA KUWA INATOA VIBALI VYOTE VYA USAFIRISHAJI VIFURUSHI TANZANIA, PIA NAYO IKAJIHUSISHA NA BIASHARA ZA VIFURUSHI KUPITIA NDEGE YETU CARGO PLANE, YAPO MENGI ACHA NIISHIE TU HAPO.
 
Juzi nilikuambia MTAZAMO kuwa unampongeza Maharage Chando kwa UJINGA. Na nikaonya kuwa TTCL iko mortuary na Maharage akienda anakwenda kuitumbukiza kaburini. Leo tayari Mama katoa PDF jingine. Kabakizwa Peter Ulanga na Maharage kapelekwa
 
Considering record yake tanesco sijui ata perform vip
Mhandis ulanga alijitahidi sana kubadili image ya ttcl, maybe its too soon wangempa muda considering mambo aliyokuwa anafanya.
Chande kawa posta masta.
 
Taarifa ya hivi punde UTV,ni posta master mkuu wa Tanzania,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kawa Postamasta yani mbeba baruaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani mama hiyu chande mbona atamkomaaaa...!!
 
Pole Mkuu..
 
Mtizamo, unajua kuwapa watu maua hata kabla awajaanza kazi katika ofisi zao mpya baada ya kuaribu walikotoka. Haya mpe Maharage Chande kitu cha kuanza nacho Posta badala ya TTCL.

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Wamemla kichwa tayari! Kwa sasa ni Postmasta Mkuu; hatuyajui ya kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…