Maharage Chande, Anza na hili huko TTCL


Considering record yake tanesco sijui ata perform vip
Mhandis ulanga alijitahidi sana kubadili image ya ttcl, maybe its too soon wangempa muda considering mambo aliyokuwa anafanya.
 
Hapo kwenye NBC umedanganya. Rudi tena ukaangalie nini kiliwatoa na Lawrence Mafuru
 
Ha ha ha! Hiyo ndio sahihi.
 
Aiendeshe ttcl kama alivyokuwa anaiendesha dstv

Ova
DStv-Tz yenye wafanyakazi wasiozidi 50 unalinganisha vipi na TTCL iliyotapakaa nchi nzima ikiwa na kila aina ya vigagula walalamishi kwa kila jambo?

Watu ambao always wako negative wanaojihisi wanaonewa muda wote? Watu ambao by hooks and crooks mindset haiwezi kubadilika tena?

Hilo shirika kuli-transform sio masikhara linahitaji kichwa cha ukweli sio chawa!
 
Tungekua Taifa Serious,hayo maharagwe sasa hivi yangekua jikoni "yanapikwa" kwa madudu yaliyojaa yakiwa Tanesco store.

Mtu kafeli kwenye shirika nyeti na uti wa mgongo wa uchumi,anaenda kupewa tena uraji- akafisadi na huko?!!

Hakuna new brains?!
 
You are such a loser
 
Kapuyanga Tanesco sasa kama hakuwa mtu sahihi kwanini walimteua?

Mmegeuza Tanzania shamba la bibi eeeh.

Ipo siku.
 
we kwa sababu umemtia babra eeeh baba j๐Ÿ˜•
Bwana TikTok umekaa ukajiaminisha kabisa mimi Waziri wa mambo ya nje. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Kweli akili yako fupi, hata nyakati husomi.

Halafu you don't think it's homosekshuo behavior kuongelea mwanaume mwenzako anamkaza nani, chalii jifunze etiquette kidogo ๐Ÿ˜ญ


You are obsessed na JM. Pole boss, roho itakuchoma sana we Bwana mdogo. Maana ndio kwanza top Diplomat ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ



Kesho amka fungua thread nyingine. Hakuna publicity mbaya duniani, naona nikama mnamuweka mtu top of mind watu wanamjua zaidi,
 
ANa experince kuendesha Telecominication companies?
 
Wacha tuone, hasijekuwa ameshindwa kabla ya kuanza
 
Wana ttcl Wawa wezesha wateja wao wale nini ilhali zipo Paa chenti za watoa huduma wanaojaribu kuiua ttcl ili waliteke soko๐Ÿค”
 
Maharage alikuwa boss wa DStv Africa. Sio bongo
 
Kwani uongo wewe ni kipara baba j mnakuja na id zenu feki mkijua hatutowajua๐Ÿ˜•๐Ÿ˜•๐Ÿ˜•

Kama wewe ulivyokosa adabu kuongea habari za kutia wanawake mimba

Roho haiwezi kunichoma kwa failure kama wewe januari kwa taarifa yako ni suala la muda tu mbeleko itachanika na utaangukia pua

Nitakuja kukukumbusha hapa hapa usikimbie
 
Akiweza kuboresha internet majumbani atakua kafanikiwa pakubwa na ataonekana kweli kichwa
 
Usimumshe asiyelala.

You think you are important hadi unajidillusion kwamba Waziri wa Foreign Affairs wa Jamhuri ya Tanganyika atakuja kubishana na wewe humu ๐Ÿ˜‚


Sasa tajiriiiii roho haikuchomi vipi wakati asubuhi mchana jioni TikTok we unamuongelea mtu mmoja tena kimbea na kipashkuna. Mi nahisi roho inakuchoma.

Natamani ungekuwa unajitambua robo tu. Ungeweza kukosoa bila kukosa amani ya moyo.
๐Ÿ˜‚


Kaa humo roho isawajike kabisa ๐Ÿ˜…


Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ