Mwanahakij
Senior Member
- Jul 29, 2009
- 129
- 22
Kama mtu alipiga tu kura mara mili akalambishwa mvua tatu za fasta, (Jela miaka mitatu kwa kupiga kura mara mbili) basi huyu fataki wa demokrasia anatakiwa kila kura moja feki aliyokutwa nayo, apatiwe mvua tatu! period!