Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,961
- 82,297
vingunguti dar es salaam
Hapo akuna nachohitajivingunguti dar es salaam
Biashara anafanyia dar sio Iringa mkuu.mbwa utaki
Apo umeona 40 tu au sio?Mbuzi Elfu 40???? 😃😃😃
kupata mbuzi anae eleweka kwa bei hii kwa ukanda wangu ni kipengele mkuu, huku average 90-300k , kondo na mbuzi ndogo ndio wana range kwenye 80kKama 40-80k hivi
Ni sawa na dar kwa mnada wa pugu bei ni kama izokupata mbuzi anae eleweka kwa bei hii kwa ukanda wangu ni kipengele mkuu, huku average 90-300k , kondo na mbuzi ndogo ndio wana range kwenye 80k
Huko Kilosa Bei ya mbuzi wa kueleweka ni elfu 60 hadi 80Ni sawa na dar kwa mnada wa pugu bei ni kama izo
Very CheapHuko Kilosa Bei ya mbuzi wa kueleweka ni elfu 60 hadi 80
inaonekana wewe ni mwenyeji wa TINDE.Kuna minada Ilola (J3), Tinde (J4), Isaka (J`mosi), yote iko Shinyanga vijijini pembezoni mwa barabara ya Nzega -Kahama. Magari ya kusafirisha yapo
iringa hiyombwa utaki
Sio rahisiNawazaga sana hii biashara, sijui kwa mtaji wa laki nne kama naweza kuifanya,ngoja nione komenti
Yeap na Nikauliza, Maana Mbuzi wa Elfu 40 Mkuu Hayupo, Hiyo ni Bei ya Miaka Mingi Mno IliyopitaApo umeona 40 tu au sio?
🤣🤣🤣🤣Njoo pugu mnadani elfu 60 kibao tu wa mbeguYeap na Nikauliza, Maana Mbuzi wa Elfu 40 Mkuu Hayupo, Hiyo ni Bei ya Miaka Mingi Mno Iliyopita
Kauze dar mkuuMbuzi mmoja anaanzia 150,000/=
Nitalifanyia kazi mkuu shukranHuko Kilosa Bei ya mbuzi wa kueleweka ni elfu 60 hadi 80