Ugomvi gani, mbona mnakuwa hamtaki kufahamu....Kama kuna mmoja anasema eti sina pesa na hata shiling tano sina mfukoni...kwani tunashindana hapa kuonyesha na nani anapesa....wenye pesa huwa hawasemi na malimbukeni wakipata tu dunia nzima inajua.....hapa kila mtu ana mawazo yake....Mnataka kutulazimisha tulishe watu sio wake zetu :whoo:
Hahahaha kinachonifurahisha ni kuwa huu uzi ni wa mwaka 2012 naona muhusika kashapa sehemu za kula na pengine kashamuoa aliyempeleka na pengine wana watoto .