Mahali ilipo ofisi ya CHADEMA Arusha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahali ilipo ofisi ya CHADEMA Arusha.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gwallo, Mar 6, 2011.

 1. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Wana JF nisaidie, swali langu ni kwamba kuna mtu yeyote humu jamvini anafahamu mahali ilipo ofisi ya CHADEMA katika jiji la Arusha. Kuna vijana wanalalamika kwamba tunataka kupata Kadi za Chama, Ahsanteni
   
 2. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,874
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  ofisi ya cdm mkoa iko faya b4 walikuwa hapa karibia na st. Thomas ila nafkiri bado hapo kuna tawi pia unaweza pata kadi kwenye mashina kama pale december chinjachinja, pia arumeru ka unaenda maji ya chai shukia kwa alois utaona bendera hiyo ni ofisi kwa maeneo ya sakina nenda mitaa ya enyuata S/M ilizia kwa diwani wa cdm bille utapata as far as i know hizo ndo sehemu mi nazojua kadi zipo
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,957
  Likes Received: 2,631
  Trophy Points: 280
  ipo Namvua House mkabala na stand ya magari yanayoenda Namanga, ghorofa ya nne kama sikosei........karibu
   
 4. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Ahasante pukudu, kwa msaada wako nitaenda kesho hapo december ndiyo karibu kwangu, nina team ya watu kama 6 wanaotaka kupata kadi zao. mwitikio wa vijana wanofanya kazi humu Arusha siyo wa kawaida.
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,134
  Likes Received: 836
  Trophy Points: 280
  maelezo ya preta yako sahihi
   
 6. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Nikifika pale nikuulizie nani jina?
   
 8. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #8
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 60
  Ofisi ipo namvua plaza au waweza kunipigia mimi ndio mwenyekiti wa baraza la vijana mkoa,
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Namba....?
   
 10. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #10
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 60
  0784834152
   
 11. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #11
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,369
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwa nyongeza .... Opposite na hapo ndipo magari ya kuelekea Loliondo kwa Babu wa tiba yanapoanzia .... Kitu kama hicho.. Nafikiri sijakosea..!!
   
 12. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #12
  Mar 6, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 60
  Kaka loliondo kumefurika watu sana
   
 13. c

  carefree JF-Expert Member

  #13
  Mar 6, 2011
  Joined: Dec 19, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Nanyaro unanihamasisha na mimi kutumia jina halisi inavutia sana big up diwani
   
Loading...