Mahala Pema PEPONI

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,791
Nyumbani kwa Bujibuji
62010_289150581186799_2017389084_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
Safi sana ukihitaji msosi unashuka hapo kwa mbele samaki kibao
 
Hili eneo ukiondoa hako kakibanda, pamefanana sana na Mahale Montains National Park....Kigoma hiyo...kando ya ziwa Tanganyika.....sehemu yenye chimpazee wengi zaidi in E and C Africa.
 
Mazingira mazuri kweli I wish ningekua naish hapo

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Ufyeke hizo nyasi unless zitaota hadi kitandani usicheze na snakes lol

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Hii mandhari uende fungate bwana......![/QUOTE]

Ukiamua kwenda huko fungate hakikisha ukovizuri KIUCHUMI au uwe na MAHUSIANO YA KARIBU NA IDARA YA USTAWI WA JAMII maana mkitoka huko Mama akiweza kujifungua salama ni QUADRUPLETS (mapacha wanne).....
 
buji wana kijiji wenzako wanakuongelesha mbona huwajibu? Au umesahau kikwenu baada ya kuingia mjini last week?
 
Back
Top Bottom