Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,420
- 4,034
hakimu alimpa mdai ushindi,waje kugawana ,mwe!hapo umeshinda kesi, ila wakumbuke tu ku assign reason kwenye record wanapohama wakati wa re-assignment. huwa na impact kubwa kwenye appeal.
hakimu alimpa mdai ushindi,waje kugawana ,mwe!hapo umeshinda kesi, ila wakumbuke tu ku assign reason kwenye record wanapohama wakati wa re-assignment. huwa na impact kubwa kwenye appeal.
ndugu, networking siyo simu peke yake. wenye akili zao wakidhamiria hujiongeza!nafikiri networking ya uso kwa uso na networking ya mtandao ni vitu viwili tofauti. hata kutongoza (kama umeoa) huwezi kuchumbia kwenye simu hadi mahali, mkionana ndio bond inakuwa kubwa ila kama mpo mbali ni ngumu. pia, communication ukiondoa ile ya uso kwa uso, ni hatari sana kwasababu simu zao nyingi zinaweza kupekuliwa sometimes where need be na hasa likitokea tatizo (no confirmation, inasemekana).
Mjomba haya ya kweli au unanitia chumvi? Kama ni kweli basi ndugu zangu tuna hali mbaya sanaaaa.hakimu alimpa mdai ushindi,waje kugawana ,mwe!