Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli inawatafuna
Wewe ni roboti linatemea umeme namanisha umezidi kiwango Cha upumbavu hata shetani hakufikii kabisa mkata viuno weweAise,
inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana,
jinsi ambavyo wasijua sheria wanavyobebwa ufala wa kifikra, wanavyodanganywa na wanavyopigwa kamba na wakiuka sheria kuhusu sheria mbalimbali za nchi yetu.
na wao maskini ya Mungu wasivyo jielwa wanaamini uongo huo tu ,dah!🐒
Safii👍Asante sana binti mzuri.
Sasa hapo nini cha kuhuzunikaMahakamani ulikuwa uwanja wa hudhuni sana watu wamelia kwa uchungu sana hata Katibu mkuu John Mnyika ametokwa na machozi hasa pale Tundu Lissu aliposema kama mnanifanyia hivi Mimi mjuzi wa Sheria mmeniweka Gerezani Mwaka mzima kwa makosa ya uongo.
Vipi kuhusu watanzania wasiojua Sheria 😭
Vipi wewe unayesoma hapa ukipewa Kesi ya UONGO Baba yako hajulikani hata na Diwani wa Kata ambaye aliingia madarakani kwa ile hali ya 29 October?
Mama yako hajulikani hata na mtendaji wa kata ?
Haki kwanza
punguza mihemko jukwaani gentleman, toa maoni yako huru dhidi ya hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi.Wewe ni roboti linatemea umeme namanisha umezidi kiwango Cha upumbavu hata shetani hakufikii kabisa mkata viuno wewe
Wewe NI zaidi ya juha yaani umemzidi shetani mbaliii Sana mkata viuno Bora Sana wa lumumba buku7fcpunguza mihemko jukwaani gentleman, toa maoni yako huru dhidi ya hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi.
huna haja ya kumbwelambwela vitu useless jukwaani tofauti na hoja mahususi mezani 🐒
Tunamjua vyema Mimi NAISHIA kusema NI MWANA chadema wa zamani aliamua yeye kwa matakwa yake kujiondoa chadema sijajua hizi chuki kwa viongozi wa chadema zinatoka wapi wakati chadema hakufukuzwa?Huyo jamaa sio binadamu, nafikiri ni Yeriko Nyerere, anatumia ID ya Tlaatlaah
Tumeanza kutafuta huruma etiMahakamani ulikuwa uwanja wa hudhuni sana watu wamelia kwa uchungu sana hata Katibu mkuu John Mnyika ametokwa na machozi hasa pale Tundu Lissu aliposema kama mnanifanyia hivi Mimi mjuzi wa Sheria mmeniweka Gerezani Mwaka mzima kwa makosa ya uongo.
Vipi kuhusu watanzania wasiojua Sheria 😭
Vipi wewe unayesoma hapa ukipewa Kesi ya UONGO Baba yako hajulikani hata na Diwani wa Kata ambaye aliingia madarakani kwa ile hali ya 29 October?
Mama yako hajulikani hata na mtendaji wa kata ?
Haki kwanza
Hiyo ni mbinu mojawapo ya kujitetea.
Lissu anajua michezo ya Mahakamani
Nilikuwa nataka kushangaa nisikute comment yako kwenye huu uziAise,
inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana,
jinsi ambavyo wasijua sheria wanavyobebwa ufala wa kifikra, wanavyodanganywa na wanavyopigwa kamba na wakiuka sheria kuhusu sheria mbalimbali za nchi yetu.
na wao maskini ya Mungu wasivyo jielwa wanaamini uongo huo tu ,dah!🐒
Yes,Nilikuwa nataka kushangaa nisikute comment yako kwenye huu uzi