Mahakamani 2.

Mahakamani 2.

Mkwaruzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2011
Posts
563
Reaction score
98
Wakati anadakia dakia (mahojiano) na kutokwenda na utaratibu wa mahakama, jaji alimwamuru askari kwa kumwambia: mpe chai. Yule mdakiaji akapigwa mkono m1 wa nguvu, akatulia. Baada ya mambo kumalizika, wakati wanatoka, yule askari naye alipigwa ganja zito na yule mdakiaji. Alipoulizwa kwanini amefanya vile, akajibu: bwan-jaji kasema mpewe chai, sasa mi nampa vyombovye akamrejeshee mwenyewe.
 
ha hah a aaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!
 
Ha ha ha ha!!Hapo wametoka suluhu kila mmoja kamuonja mwenziwe kwa kipigo
 
HAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA HAHAHA''imetulia value to value
 
Back
Top Bottom