Mahakamani 1.

Mahakamani 1.

Mkwaruzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2011
Posts
563
Reaction score
98
Mzee alimfungulia mshkaji kesi kwa kumchukulia mke yake. Mwisho wa siku ikafika, na hakimu kumuacha huru mshtakiwa kwa kutokuwa na kosa. Ndipo yule mzee alipomgeukia hakimu na kumuambia...
Mzee: Bw. hakimu, mi nakuomba uniruhusu nilale na mke wako usiku mmoja tu.
Jaji: miezi sita ndani kwa kumdhalilisha hakimu.
Mzee: Bw. hakimu, miezi sita ndani kwa kukuomba tu kulala na mke wako, wakati hata bado sijalala naye lakini niliyemfumania na mke wangu hukuona kosa!
Jaji:????
 
ha hahaaaaaaaaaaaaaa!! naona hakimu alivua miwani!
 
naona hakimu alihairisha kesi hadi tarehe 30 February mwaka ujao.
 
Chezea vitu vyote lkn c mke wa mtu,inauma wewe!
 
Back
Top Bottom