MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Mungu aliyemuumba huyu mwanadamu ndiye anayeijua mipango yote . Mwenye roho mbaya na mwenye roho nzuri wote wako chini yake. Fitna za mwanadamu hua na mwisho wake, hazidumu milele.
Wapo waliochapa wenzao na fimbo wakati wa kampeni wapo wanatembea uraiani,walichota pesa za umma kwenye sandarus wanadunda, wapo waliochoma moto karatasi za kura wakati wa uchaguzi wapo wanadunda. Mtu anahukumiwa kwa sababu kwamba alivuruga uchaguzi ambao mahakama iliridhia ushindi wake, tena bila faini?? Huu ni uonevu mkubwa sana kutokea.