Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia watuhumiwa watano waliokuwa wakituhumiwa kujiunganishia bomba la mafuta la Mamlaka ya bandari TPA.
Uamuzi huo unafuatia DPP kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi hiyo.
View attachment 1214153
HujitambuiHabari ya Mahakamani inafanya nini katika Jukwaa la Siasa?
Kawaulize ccmWamerudisha kiasi gani cha fedha?
Nakupuuza baki na ujuaji wako wa JF, Naomba nipatiwe jibu la swali languHujitambui
Hahaha mi nilidhani ni mahakama ya uhujumu uchumi kumbe ya kisutu?!
Siasa za kutishana na kutesana zimekosa kiki?!
Nakupuuza baki na ujuaji wako wa JF, Naomba nipatiwe jibu la swali langu
Punguza kujipendekezaWalikuwa wanakabiiliwa na kesi ya uhujumu uchumi
Usingerudisha kwasababu ukonyuma ya keyboard!Kesi nyingi za Uhujumu Uchumi ni magumashi, na zile ambazo sio za magumashi, waendesha mashitaka hawana ushahidi! Hii ndiyo pia sababu iliyomfanya Magu ajifanye eti anajisikia huruma kwa watu waliopo ndani kwa muda mrefu!!
Watu kama akina Ruge na Singasinga! Mkataba mmewapa wenyewe, ni mahakama yenu wenyewe ndiyo ilitoa uamuzi kwamba akina Ruge wapewe pesa zao zilizokuwa Escrow! Viongozi wenu wenyewe wamekuwa wakisikika pesa za Escrow sio za serikali!
Halafu leo hii unapeleka watu mahakamani kisha utarajie kushinda!!! Kwa aibu ya kujua mtashindwa tu, mnajifanya eti kuwahurumia na kwahiyo mtasemehe wakirudisha pesa wakati hizo pesa mliwapa wenyewe tena kwa amri ya mahakama yenu wenyewe!!!
Ningekuwa mimi nisingerudisha hata senti 5!!