Mahakama yawaachia Watuhumiwa watano wa Uhujumu Uchumi

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
25,284
38,311
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia watuhumiwa watano waliokuwa wakituhumiwa kujiunganishia bomba la mafuta la Mamlaka ya bandari TPA.

Uamuzi huo unafuatia DPP kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi hiyo.
IMG_20190923_132537.jpeg
 
Kesi nyingi za Uhujumu Uchumi ni magumashi, na zile ambazo sio za magumashi, waendesha mashitaka hawana ushahidi! Hii ndiyo pia sababu iliyomfanya Magu ajifanye eti anajisikia huruma kwa watu waliopo ndani kwa muda mrefu!!

Watu kama akina Ruge na Singasinga! Mkataba mmewapa wenyewe, ni mahakama yenu wenyewe ndiyo ilitoa uamuzi kwamba akina Ruge wapewe pesa zao zilizokuwa Escrow! Viongozi wenu wenyewe wamekuwa wakisikika pesa za Escrow sio za serikali!

Halafu leo hii unapeleka watu mahakamani kisha utarajie kushinda!!! Kwa aibu ya kujua mtashindwa tu, mnajifanya eti kuwahurumia na kwahiyo mtasemehe wakirudisha pesa wakati hizo pesa mliwapa wenyewe tena kwa amri ya mahakama yenu wenyewe!!!

Ningekuwa mimi nisingerudisha hata senti 5!!
 
Hahahah eti Dpp Hana Nia ya kuendelea nayo....Mnachotakiwa kufanya kwa Sasa ni kuwaumba Watanzania wenu ambao watakuwa wajinga sana. Huyo Dpp ajue wajibu ni kuhakikisha Bosi wake hang'oki madarakani vinginevyo wanaweza kujikuta mahali hawakuwahi kutegemea maana what goes around comes around.
 
Kesi nyingi za Uhujumu Uchumi ni magumashi, na zile ambazo sio za magumashi, waendesha mashitaka hawana ushahidi! Hii ndiyo pia sababu iliyomfanya Magu ajifanye eti anajisikia huruma kwa watu waliopo ndani kwa muda mrefu!!

Watu kama akina Ruge na Singasinga! Mkataba mmewapa wenyewe, ni mahakama yenu wenyewe ndiyo ilitoa uamuzi kwamba akina Ruge wapewe pesa zao zilizokuwa Escrow! Viongozi wenu wenyewe wamekuwa wakisikika pesa za Escrow sio za serikali!

Halafu leo hii unapeleka watu mahakamani kisha utarajie kushinda!!! Kwa aibu ya kujua mtashindwa tu, mnajifanya eti kuwahurumia na kwahiyo mtasemehe wakirudisha pesa wakati hizo pesa mliwapa wenyewe tena kwa amri ya mahakama yenu wenyewe!!!

Ningekuwa mimi nisingerudisha hata senti 5!!
Usingerudisha kwasababu ukonyuma ya keyboard!
 
Back
Top Bottom