Na ww ya Mbowe yanapiga hodi kwako! Mchawi akikosa wa kumloga anawaloga wajukuu zake lazima na ww utavuna unacho kipanda!Ulikuwa upuuzi mtupu.
ujuwaji mwingiiii!!
mnawachosha mabalozi wa watu bureee mwisho wapate korona!!!
Mbowe anavuna alicho kipanda.
eti anachagua Mahakama ya kusikiliza kesi yake!!
mwishowe atachagua na gereza la kutumikia kifungo chake!!
Mahakama hizi si ndio zile zinazomhukumu Sabaya pia?
Mabalozi watapata korona sio?????Ulikuwa upuuzi mtupu.
ujuwaji mwingiiii!!
mnawachosha mabalozi wa watu bureee mwisho wapate korona!!!
Mbowe anavuna alicho kipanda.
eti anachagua Mahakama ya kusikiliza kesi yake!!
mwishowe atachagua na gereza la kutumikia kifungo chake!!
Ukweli ni kuwa,haimake sense mbowe kuanza kuchagua mahakama,kama ni kweli kabambikwa kesi,Wewe ni mwenyekiti wa wapumbavu na wachawi
Kuanzia mwenyekiti wako taifaWafuasi wa CDM nyie ni watu wa ovyo kweli. Angeshinda hilo pingamizi mngekuja hapa na sifa kede kede kwa Kibatala na kuwaponda wanasheria wa Serikali. Mkipigwa hamsemi Kibatala ni kilaza ila lawama mnaitupia Mahakama. Nyie watu viazi kweli!

Naunga mkono hojaUkweli ni kuwa,haimake sense mbowe kuanza kuchagua mahakama,kama ni kweli kabambikwa kesi,,tunataka kesi ianze haraka ili ukweli ujulikane
Sawa BashiteKwnini mbowe hataki mahakama hiyo isikilize kesi?,maana kama hana hatia,atataka kesi ianze haraka hata kama ni chini ya mti ili uongo wa wanaomshitaki ujulikane na kesi iishe
Vipi kuhusu kumnyoa mama mkuu????Hamna kesi hapo,wacha wamtese ipo siku yao pia.
Nasubiri akiachiwa huru na mahakama utasemaje.Hatuna mahakama tuna matawi ya CCM
Shobo zipi tena?Kwahiyo zinabalance shobo?
Kama dingi akoNasubiri akiachiwa huru na mahakama utasemaje.
Nyumbu hovyo kabisa.
Ana jitahidi sana kuwa komesha Sukuma gang na hata Magaidi hawataki.
Sasa hivi wananena kwa kugha mkuu!Siku hizi siwasikii tena na kale kawimbo kao ka sukumagang, sijui imekuwaje.
😁Never loose a hope freeman, everybody knows that you are innocent,you are not a terrorist
Wa kwanza kupiga vifijo na nderemo angekuwa Erythrocyte.Wafuasi wa CDM nyie ni watu wa ovyo kweli. Angeshinda hilo pingamizi mngekuja hapa na sifa kede kede kwa Kibatala na kuwaponda wanasheria wa Serikali. Mkipigwa hamsemi Kibatala ni kilaza ila lawama mnaitupia Mahakama. Nyie watu viazi kweli!
Unadhani hatujui tofauti na mazingira ya hizo kesi mbili?Shobo zipi tena?
Kwa sabaya zinatenda haki, ila kwa mbowe hazitendi haki?
Mahakama ikimuachia Mdude inakuwa sawa, ikifanya vinginevyo inakuwa tawi la CCM? Hizi ni akili duni sana aiseeHatuna mahakama tuna matawi ya CCM