Mahakama yatupilia mbali kesi ya Kikatiba ya kupinga kuhojiwa kwa Profesa Assad na Kamati ya Bunge

Jafar Musa Assad kwanini aite wabunge mazuzu? Hivi kweli wabunge wetu ni mazuzu? Haya ni matusi makubwa sana.

Aitwe haraka bungeni, na ahojiwe na asulubiwe haraka, hii itatia heshima kwa watu wengine kuheshimu bunge letu.

Musa kwanza sio jina lake, kaiba jina alifeli itakuwa huyu huko shuleni, akaacha jina lake Jafar.. Pia ahojiwe hilo jina la Musa kapataje? Vetting upya ifanyike plz.
Zuzu lingine hili hapa jaman
We achana na jina lake jibu hoja zuzu wewe
 
Jafar Musa Assad kwanini aite wabunge mazuzu? Hivi kweli wabunge wetu ni mazuzu? Haya ni matusi makubwa sana.

Aitwe haraka bungeni, na ahojiwe na asulubiwe haraka, hii itatia heshima kwa watu wengine kuheshimu bunge letu.

Musa kwanza sio jina lake, kaiba jina alifeli itakuwa huyu huko shuleni, akaacha jina lake Jafar.. Pia ahojiwe hilo jina la Musa kapataje? Vetting upya ifanyike plz.

Na wewe ni zuzu Bunge ili la mazuzu halina mamlaka ya kumsulubu mtu huru kama asad labda angekuwa zuzu mbunge mwenzao kama akina polepole.

Bunge hili la mazuzu linachoweza kufanya soma linki hapo chini

Ina maana Mahakama Kuu ya nchi jukumu lake ni kutupa kesi tu?
Ukishaona jopo lina luvanda ndani yake basi kinachofuata ni kutupwa tu. Yupo Mungu asiyeshindwa kama wanazitupa haki za watu kwa sbb wanazozijua wao basi iko siku na wao watatupwa tu ni suala la muda.
 
Eti Mazuzu
200 (2).gif
 
Uchapakazi alikuwa nao ndio maana alitaka 1.5T ilifanyika nini baa da ya jiwe kuona hivyo akatumia umadarakati wake kupitia kwa mazuzu wamfanyie hila na kumfukuza kazi.

Leo zuzu moja limeshakufa yamebakia mengine likiwemo sipika.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Haya maneno ya dharau na kejeli yanakusaidia nini katika maisha yako? Unadhani utatajirika kupitia chuki yako kwa marehemu?
 
Haya maneno ya dharau na kejeli yanakusaidia nini katika maisha yako? Unadhani utatajirika kupitia chuki yako kwa marehemu?
Hamna dharau hapo. Lakin kwa dharau na kejeli mko namba moja humu.

Na huyo jiwe ndiye aliyekuwa kinara wa dharau.

Wacha tu akaongozze malaika kama alivyosema

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Kesi zote za kikatiba hazijawahi kupenya Tanzania, Mzee Mtikila alikuwa anaamua kuzipeleka kwenye mahakama za nje na zilikuwa zinashinda. Mahakama kuu yetu ini kama inaona aibu kuitetea katiba yetu ya nchi.
 
Mahakama, for once, wamepatia.

Wamesema work product ya CAG inalindwa na Katiba.

Tatizo CAG hayawahi kuweka kwenye ripoti zake kwamba bunge ni dhaifu.

Maneno anayosemea mitaani, Mahakama imesema, watashindwa kuyalinda. Simple as.
 
Mbowe hachomoki kwenye hii kesi

Lazima wakalale kitanda kimoja na Sabaya kwa miaka 30
 
Dodoma kuna hood inaitwa zuzu, je ni kosa kisheria kuwaita wakaz wazuzu mazuzu?
 
Back
Top Bottom