Mahakama yatupilia mbali kesi ya Kikatiba ya kupinga kuhojiwa kwa Profesa Assad na Kamati ya Bunge

Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Nov 9, 2007
7,029
2,000
Jafar Musa Assad kwanini aite wabunge mazuzu? Hivi kweli wabunge wetu ni mazuzu? Haya ni matusi makubwa sana.

Aitwe haraka bungeni, na ahojiwe na asulubiwe haraka, hii itatia heshima kwa watu wengine kuheshimu bunge letu.

Musa kwanza sio jina lake, kaiba jina alifeli itakuwa huyu huko shuleni, akaacha jina lake Jafar.. Pia ahojiwe hilo jina la Musa kapataje? Vetting upya ifanyike plz.
Na akithibitisha kweli ni mazuzu? Kumbuka hawa ni watu walipitisha sheria ambao wenyewe walikiri kuwa hawajaisoma. Mtu kama huyo utamuitaje?

Amandla...
 

norbit

JF-Expert Member
Jul 30, 2007
822
1,000
Jif

Jifariji kijana nyie ni wale mnaitwa wapambe mnao tembea nyuma ya watu na kusifia ili mpate chakula na vibia mnywe kisha mkalale kusikojulikana.

Endelea kumsifia pengine utalewa siku moja pesa yake.

Wakati akiwa NSSF ni matokeo gani alifanya huko, kununua viwanja heka milioni mia saba?
Na hakuzuia.
Akili kama mtaro
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom