Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,135
- 2,471
obhhhhbora yule mshenzi alifariki sasa akili za watu wa Udungini zinawarudi
Naamini atayaishi maneno yake. Wenye ubunge wao walishapewa ubunge, hao vijana ndio wanatoka kuwa raia wa kawaida, badala ya mahabusu.Mama kasema hataki kesi za ajabu ajabu.
Alikimbia jela, kama ulimsikia, anasema mlimfunga na kumfilisi akaunti zake akiwa jela. Kwa hio anajua ladha na adha ya jelaHaya maisha yaache tu...
Maenyekiti anaenda kuwekeza ulaya....wafia chama wanalala mahabusu.
kwani alipenda? si utawala wenu mbovu usiozingatia haki na sheriaHaya maisha yaache tu...
Maenyekiti anaenda kuwekeza ulaya....wafia chama wanalala mahabusu.
Ni sawa tu na Jiwe Kalala Cht Bashiru karudi Bungeni.Haya maisha yaache tu...
Maenyekiti anaenda kuwekeza ulaya....wafia chama wanalala mahabusu.
Anzisha chama chako .. unafiki haulipiMimi ni mwana mabadiliko kindakindaki. Lakini ukweli lazima tuuseme CHADEMA inahitaji kusukwa upya licha ya kwamba kiu yetu kuu ni katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Isukwe kivipiMimi ni mwana mabadiliko kindakindaki. Lakini ukweli lazima tuuseme CHADEMA inahitaji kusukwa upya licha ya kwamba kiu yetu kuu ni katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.