Taarifa:
Mahakama kuu kitengo cha kazi imefutilia mbali kesi inayoihusu MAT na serikali kupitia kwa mwanasheria mkuu wa serikali. Hukumu hii ilitolewa tarehe 5.12.2013 na Mh. Jaji Aboud baada ya serikali kushindwa kuleta vielelezo na sababu za msingi za kufungua kesi hiyo dhidi ya MAT. Taarifa hii imetolewa kwa kuchelewa kwa kuwa tulikuwa na msiba.
Na hii itafutwa tuu maana sio,ya haki....mimi nasubiri ifutwe ya ponda isa ponda
mimi nasubiri ifutwe ya ponda isa ponda
Welcome to Medical Association of Tanzania
|
Tatizo la watanzania ni wavivu sana wa kutafuta ukweli au taarifa...MAT ndo kitu gani, jaribuni kujenga ufafanuzi unaoweza kufahamika kwa wasomaji, so wote wanaojua hiyo MAT na wala kesi hiyo, tuwe tunajaribu kutumia zile mbinu za uhabarisha tulipokuwa tunajifunza shuleni namna ya kujenga tungo za uandishi, vinginevyo tunakuwa kana kwamba hatujapitia shule bana.
Tatizo la watanzania ni wavivu sana wa kutafuta ukweli au taarifa...
soma hii link iko humu humu jamvini
https://www.jamiiforums.com/jf-doct...f-tanzania-mtetezi-wa-madaktari-tanzania.html