Mahakama yafuta kesi dhidi ya MAT

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,039
2,199
Taarifa:
Mahakama kuu kitengo cha kazi imefutilia mbali kesi inayoihusu MAT na serikali kupitia kwa mwanasheria mkuu wa serikali. Hukumu hii ilitolewa tarehe 5.12.2013 na Mh. Jaji Aboud baada ya serikali kushindwa kuleta vielelezo na sababu za msingi za kufungua kesi hiyo dhidi ya MAT. Taarifa hii imetolewa kwa kuchelewa kwa kuwa tulikuwa na msiba.

source:mwenyekiti wa MAT Dr Primus Saidia
 
MAT ndo kitu gani, jaribuni kujenga ufafanuzi unaoweza kufahamika kwa wasomaji, so wote wanaojua hiyo MAT na wala kesi hiyo, tuwe tunajaribu kutumia zile mbinu za uhabarisha tulipokuwa tunajifunza shuleni namna ya kujenga tungo za uandishi, vinginevyo tunakuwa kana kwamba hatujapitia shule bana.
 
Medical Association of Tanzania

MAT is an association of medical professionals practicing in Tanzania. The association has more than 1,000 registered members countrywide practicing in the private and public sector. Any medical practitioner registered by the medical Council of Tanganyika can be a member of the association.
Welcome to Medical Association of Tanzania
The Medical and Dental Practitioners Bill
Dear colleagues and other stakeholders,

The Medical and Dental Practitioners Bill is due to be tabled in the Parliament to make it a law, among the laws of the United Republic of Tanzania. All matters related to medical and Dental practice will be dealt with in this law and we are the beneficiaries either negatively or positively.
It is therefore being brought to you for final/last review and inputs.
MAT is coordinating the reviews on behalf of all medical practitioners all over the country.
Kindly go through the bill and the areas of concentration ( include other areas you will personally see that should be changed/reviewed, not only those suggested by the registrar) carefully and thoroughly and give your inputs to us.
You can send your inputs to doctorsmat@gmail.com or directly by responding to this mail.
Our serious contribution saves our profession.

I submit,--
Primus Felician Saidia MD, DGH, Mmed.
President,
Medical Association of Tanzania (MAT),
P.O.Box 701,
Dar es Salaam, Tanzania.
Last Updated on Friday, 26 April 2013 10:39
MAT New Leaders
During its Annual General Meeting 2012, MAT Election was done with the following elected leaders:
1. President: Primus Saidia
2. President Elect: Rodrick Kabangila
3. Secretary General: Bill Haonga
4. Deputy Secretary General: Francis Fredrick
5. Hon Treasurer: Juma Mfinanga
6. Deputy Treasurer: Mugisha Clement
Council Members:
1. LAIRUMBE SILANGEI – CHANG'OMBE COLLEGE
2. OBADIA NYONGOLE – MBEYA
3. MARIAM KALOMO – MBEYA
4. PETRONILA NGILOI – DAR
5. STELLA MPAGAMA – KIBONG'OTO
6. PRAXEDA JAMES – MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL
7. NASSORO ALLY MATUZYA – MWANANYAMALA HOSPITAL
 
MAT ndo kitu gani, jaribuni kujenga ufafanuzi unaoweza kufahamika kwa wasomaji, so wote wanaojua hiyo MAT na wala kesi hiyo, tuwe tunajaribu kutumia zile mbinu za uhabarisha tulipokuwa tunajifunza shuleni namna ya kujenga tungo za uandishi, vinginevyo tunakuwa kana kwamba hatujapitia shule bana.
Tatizo la watanzania ni wavivu sana wa kutafuta ukweli au taarifa...

soma hii link iko humu humu jamvini

https://www.jamiiforums.com/jf-doct...f-tanzania-mtetezi-wa-madaktari-tanzania.html
 
Tatizo la watanzania ni wavivu sana wa kutafuta ukweli au taarifa...

soma hii link iko humu humu jamvini

https://www.jamiiforums.com/jf-doct...f-tanzania-mtetezi-wa-madaktari-tanzania.html

Asante, mimi nilikuwa sijaelewa maana yake kwa jinsi ilivyoletwa na mleta mada, ikabidi nijaribu to google, ndipo nikaibuka na hicho kitu kama ulivyo ona. Bahati nzuri mwenzangu umeleta kitu ambacho kumbe kilishajadiliwa hapa. Tatizo wengi wetu si wa kujituma katika kupata ukweli, naana na tafsiri ya kitu, tunachukua kitu hewani tu na kukitundika hapa bila hata kukifanyia kazi ili wazomaji wasiibuke na maswali mengi yasiyojibika.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom