Mbona unakurupuka tu, tulia ilete taarifa kamili, km huna taarifa kaa kimya.Kwa wapenzi wa kiti moto. Hapo dakika hii panavujwa
jamani sasa tutaenda wapi tena aiseee.. pale kontena vipi?
sijui kama ni kwa mzee robert .. ila pale wasivunje tuKwa mzee robert
sijui kama ni kwa mzee robert .. ila pale wasivunje tu
Habari ndo hiyooheeee
kwani ni ya mtu mmoja ama watu 250 kidogo?Kwanini? Jamaa ahamie sehemu nyingine tuendelee kunywa bia.