Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,214
- 3,587
Katiba Mpya kama itaandikwa au sheria mpya itungwe ili zieleze ni vipi na wapi Mahakama inaweza kushitakiwa.
Hii itafanya Majaji na Mahakimu kuwakana warasimu/wanasiasa wanaoingilia kazi zao; kwamba wanaogopa taasisi ya Mahakama kushitakiwa.
Pia watumishi wa idara ya Mahakama watapunguza kula rushwa kwa ajili ya kupotosha hukumu.
Niliwahi huko nyuma kuhoji humu takwimu za Majaji na Mahakimu walio jela tukizingatia kuwa Mahakama ndiyo kitovu cha rushwa nchi hii.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app