Mahakama ya Rufaa Tanzania imeipa ushindi maombi ya Bodi ya Wadhamini ya CUF chini ya Katibu Mkuu Maalim Seif

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
MAHAKAMA YA RUFAA TANZANIA YATUPA HOJA ZA LIPUMBA KUMTAKA JAJI KIHIYO KUSIKILIZA SHAURI :

MAHAKAMA YA RUFAA TANZANIA imeipa ushindi Maombi ya Bodi ya Wadhamini ya CUF chini ya Katibu Mkuu Maalim Seif Sharif Hamad katika shauri Namba 43/01/2017 (From Civil Application No.23/2017) kuhusu kumkataa Jaji Kihiyo kusikiliza shauri la msingi tajwa hapo juu. Shauri hili ndilo linalohoji uhalali na mamlaka ya Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Francis Mutungi kumrejesha Lipumba katika nafasi ya Uongozi ndani ya CUF baada ya kujiuzulu na kukubaliwa kujiuzulu kwake na Mkutano Mkuu wa Taifa wa CUF uliofanyika katika ukumbi wa Blue Pearl, Ubungo Plaza Tarehe 21 August, 2017.

Jaji Musa Kipenka amekubaliana na hoja za Mawakili Wasomi wa CUF Halfani Daimu, Juma Nassoro na Hashimu Mziray walizozitoa Mbele ya Mahakama ya Rufaa.

MAAMUZI HAYA YANAIPA NAFASI MAHAKAMA KUU KUENDELEA KUSIKILIZA SHAURI HILO AMBALO TAYARI MSAJILI WA MAHAKAMA KUU AMESHALIPANGA JALADA. FILE HILO LISIKILIZWE MBELE YA MHESHIMIWA JAJI WILFRED DYANSOBERA.
Baada ya Jaji Kihiyo kustaafu rasmi tangu Mwezi July, 2017.

USHINDI MNONO.

CUF NI TAASISI IMARA, YENYE VIONGOZI MAKINI.

HAKI SAWA KWA WOTE

MAHARAGANDE
22/ 12 / 2017
 
Mwisho wa siku pumba na chuya lazima vitenganishwa, hivyo Lipumba ajiandae kwenda kuomba radhi kwa mwenyekiti wa ccm taifa
 
Kuna wale wasiojulikana wanaompambania Lipumba......itabidi waingilie kati ku-rescue situation.
 
Jaji kihiyo kalala mbele alifanya madudu akijua muda wake umeisha.
CUF ya lipumba wanavuta ganja mbichi,,, mara ya kwanza walimkataa Mh.jaji Kihiyo,, baada ya kustaafu kesi ikahamishiwa kwa Jaji mwingine Mh.Dyansobera,,eti nae pia walikuwa hawamtaki,,, Nasikia wanataka File apewe Jaji mutungi Eti
 
Hivi hili li chama la kiislamu halijafa tu bado????
CUF ni chama cha kishetani haswa, kumbukeni kukamatwa na Lori la majambia, kuua askari Zanzibar nk. Rest in Hell li chama la kiislamu

pamoja na kwamba mimi si muislam, lakini napinga udini wa namna hii! na nakuwa wa kwanza kukuriport upate BAN!

kwani Waislam sio watu! ?
 

Ombi: Jaji anayetoa ushindi kwa Seif Sharif Hamad achunguzwe uraia wake

Kumpa ushindi mpinga muungano ni kukosa uzalendo kwa Taifa la Tanzania


End of the story.
 
CUF ya lipumba wanavuta ganja mbichi,,, mara ya kwanza walimkataa Mh.jaji Kihiyo,, baada ya kustaafu kesi ikahamishiwa kwa Jaji mwingine Mh.Dyansobera,,eti nae pia walikuwa hawamtaki,,, Nasikia wanataka File apewe Jaji mutungi Eti
.........nia ni kumvuruga Bwana Sawa sawa !
 
Mwisho wa Ubaya aibu....

Hakuna mahali popote duniani ambako Haki imeshindwa na Dhuruma.

Huyo Profesa Lipumba ndiyo asome alama za nyakati, wenzie CCM weshamtumia na sasa wanamuona kama Toilet Paper.....
 
Back
Top Bottom