SODOKA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2012
- 1,654
- 724
wataalamu wa lugha natumai hamjambo. Naombeni ufafanuzi katika hili kwanini sehemu zinapouzwa ndizi karibu Tanzania nzima zinaitwa Mahakama ya ndizi....mfano
mahakama ya ndizi Morogoro
mahakama ya ndizi Mabibo dsm
mahakama ya ndizi kijijini Mbingu
NB
nilipost kule jukwaa la lugha lakn halina wadau sikufanikiwa kupata jibu
mahakama ya ndizi Morogoro
mahakama ya ndizi Mabibo dsm
mahakama ya ndizi kijijini Mbingu
NB
nilipost kule jukwaa la lugha lakn halina wadau sikufanikiwa kupata jibu