Hivi Kitilya, Sioi na yule mwenzao wako wapi? Bila kumsahau Masamaki, Kabwe na wenzao?
Hiyo inatowa majibu kwa kichwa cha habari, ujumbe sijausoma.
Inatowa = inatoa. hao uliowataja tayari wamefutiwa shitaka moja, yamebaki makosa saba na I hope kwa mahakama zetu makosa yote yatafutwa na mwisho Wa Siku wataonekana hawana hatia. time will tell