Mahakama ya mafisadi kukosa kesi; ushindi wa mafisadi dhidi ya serikali?

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,610
2,000
kweli hakuna awezae kupambana na mafisadi. Hongereni mafisadi mmevipiga vita na mnaelekea kushinda. mahakama ya mafisadi kujengwa kwa mbwembwe na hatimaye kukosa hata kesi Moja ni hatua kubwa kwa mafisadi kuelekea kupata ushindi na hatimaye kuzika kabisa kile kilichokuwa kikiitwa vita dhidi ya ufisadi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom