Mahakama ya mafisadi itawaumbua CCM

Mahakama ya mafisadi itawaumbua CCM

Lowasa ni fisadi mkuu aliiba pesa za RICHMOND...Hata neno "fisadi " lilianzia kwa Lowasa...Lowasa hawezi epuka na kifungo...Muda si mrefu ataungana na mkwe wake Sioi Magereza Keko
Ukweli ni kwamba imekula kwa CCM maana MAFISDAI WOTE wako huko, nitacheka sana kama na wakuu wa kaya wakiachwa.
A leader must set an example so that the followers can understand, let watch and see these Series of Movies..coming soon.
 
Ni dhahiri sasa mahakama ya mafisadi inaanzishwa nchini. Mahakama hii itakuwa na kazi moja tu,kusikiliza kesi za mafisadi na kuwahukumu.

Kwa muda sasa CCM povu limekuwa likiwatoka kwa madai kuwa Lowassa ni gwiji la mafisadi nchini,na kwamba CHADEMA walipotoka kwa kumpokea Lowassa. Kwamba haiwezekani mtu ambae CHADEMA walipiga kelele miaka yote kuwa ni fisadi,iweje leo wampokee na kumpa nafasi ya kugombea urais? Povu liliwatoka kwelikweli.

Na jibu la CHADEMA lilikuwa moja tu,kwanini hamkumshitaki kipindi chote hicho? Kama ni fisadi ilikuwaje hajashtakiwa? Swali lilikuwa gumu sana kwa CCM. Tena ikafika kipindi Lowassa mwenyewe akasismama kwa kiburi na kuvimba akawaambia "mwenye ushahidi aende mahakamani". Sentensi hiyo ilikuwa ni msumali wa moto kwa CCM. Hawakwenda mahakamani hadi leo.

Sasa mahakama ya mafisadi imeanzishwa.CCM hawatakuwa na sababu tena ya povu kuwatoka kumtukana Lowassa kwenye mitandao ya kijamii. Tunategemea watafanya jambo moja tu,kumpeleka Lowassa katika mahakama hiyo. Kinyume na hapo hawatakuwa na "mandate" tena ya kumtukana Lowassa kwa sababu wananchi watawauliza "kama Lowassa ni fisadi mbona hapelekwi kwenye mahakama ya mafisadi? Hawatakuwa na cha kujibu. Kwa hiyo option pekee ya CCM na serikali yake ni kumfikisha Lowassa mahakamani,kinyume na hapo Lowassa atakuwa amewafunga goli la kisigino.

Kama wakimpeleka itabidi wawe na ushahidi wa kutosha kuweza kuthibitisha ufisadi wa Lowassa. Je ushahidi huo wanao? Kwa kitendo cha Lowassa kutamka kwa kujiamini kuwa mwenye ushahidi aende mahakamani,ni dhahiri ana uhakika hawana ushahidi huo. Kama hawatakuwa na ushahidi Lowassa atawabwaga katika kesi hiyo kuwaaibisha vibaya. Na huenda kupitia kesi hiyo wananchi tutamjua muhusika halisi wa Richmond alikuwa ni nani?

Mwanahabari Huru
Jipe moyo wakwetu
 
Lowasa ni fisadi mkuu aliiba pesa za RICHMOND...Hata neno "fisadi " lilianzia kwa Lowasa...Lowasa hawezi epuka na kifungo...Muda si mrefu ataungana na mkwe wake Sioi Magereza Keko
DSC_4812.jpeg

swissme
 
Hata mambo ya kimsingi kabisa na kitaifa tayari mnaanza kuyapoliticize, why too obssessed ?
 
Hakuna haja ya kuusoma huu upuuzi mrefu wakati umepata dhamira.
CCM walimuacha kwa sababu walijua kuwa chadema wanao ushahidi wa kumfikisha Lowasa mahakamani. Badala ya kushirikiana na DPP kutoa ushahidi wa kumfikisha Lowasa mahakamani chadema walimpa tiketi ya kuwa mgombea urais na kumtupa rais wa mioyo yao Dr Slaa.
Hivyo basi ccm wanamuita Lowasa fisadi kutokana na ushahidi walionao chadema. Laiti kama chadema watatangazia umma kuwa wlimchafua Lowasa kwa makusudi kutokana na siasa zao uchwara na hawana ushahidi wa ufisadi wa Lowasa. Ayaseme hayo Mnyika, Lema, Mbowe, Lisu na Msigwa. DPP anasubiri ushahidi kutoka chadema ili imfikishe Lowasa mahakamani
Kama hiki kinachoendelea ni kweli. Huenda Mhyika atashirikiana na Takukuru kumfikisha Lowasa mahakamani.
 
Chadema watatetea kila aina ya uozo mwaka huu.

Majizi, mafisadi, mashoga, vibaka, wakwepa kodi, wavuta shisha wote mtetezi wao ni chadema!!!

Hii ndio maana ya chama kubadili gia angani.
 
Hakuna haja ya kuusoma huu upuuzi mrefu wakati umepata dhamira.
CCM walimuacha kwa sababu walijua kuwa chadema wanao ushahidi wa kumfikisha Lowasa mahakamani. Badala ya kushirikiana na DPP kutoa ushahidi wa kumfikisha Lowasa mahakamani chadema walimpa tiketi ya kuwa mgombea urais na kumtupa rais wa mioyo yao Dr Slaa.
Hivyo basi ccm wanamuita Lowasa fisadi kutokana na ushahidi walionao chadema. Laiti kama chadema watatangazia umma kuwa wlimchafua Lowasa kwa makusudi kutokana na siasa zao uchwara na hawana ushahidi wa ufisadi wa Lowasa. Ayaseme hayo Mnyika, Lema, Mbowe, Lisu na Msigwa. DPP anasubiri ushahidi kutoka chadema ili imfikishe Lowasa mahakamani
Kama hiki kinachoendelea ni kweli. Huenda Mhyika atashirikiana na Takukuru kumfikisha Lowasa mahakamani.
Mbona ume panic sana mpaka unapita barabara ya vumbi nakuna lami? Jibu hoja hizo hapi juu
 
Lowasa ni fisadi mkuu aliiba pesa za RICHMOND...Hata neno "fisadi " lilianzia kwa Lowasa...Lowasa hawezi epuka na kifungo...Muda si mrefu ataungana na mkwe wake Sioi Magereza Keko
Nadhani ataunganishwa na yule aliyenunua kivuko feki,na yule aliyetwalia nyumba za serikali kwa wasio wafanyakazi,msisahau aliyeiitia hasara serikali kulipia kituo cha mafuta
 
Lowasa ni fisadi mkuu aliiba pesa za RICHMOND...Hata neno "fisadi " lilianzia kwa Lowasa...Lowasa hawezi epuka na kifungo...Muda si mrefu ataungana na mkwe wake Sioi Magereza Keko
acha stori za jikoni wewe,kuna wanasheria walio bobea ndani ya serikali mbona hawamfikishi mahakamani au unadhani kuwa hiyo mahakama ndio ilifunguliwa kwa ajili ya lowasa,angalia cha kuongea na kushabikia sio unakuja jamii na maneno yako ya saloon mkisukana hapa
 
Umiliki wa hekelu kule Dubai na uhamishaji wa fedha kinyemela nje ya nchi kutamfanya Mbowe awe miongoni mwa mafisadi wa mwanzo kuhukumiwa na mahakama ya mafisadi..naamini yale mahojiano yake na maafisa wa BOT na PCCB kutapatikana ushahidi usiotia shaka
 
Hanz Pope na Rostam Aziz ambao ni wafadhili vindakindaki wa UKAWA nao sidhani kama watanusurika
 
Ni dhahiri sasa mahakama ya mafisadi inaanzishwa nchini. Mahakama hii itakuwa na kazi moja tu,kusikiliza kesi za mafisadi na kuwahukumu.

Kwa muda sasa CCM povu limekuwa likiwatoka kwa madai kuwa Lowassa ni gwiji la mafisadi nchini,na kwamba CHADEMA walipotoka kwa kumpokea Lowassa. Kwamba haiwezekani mtu ambae CHADEMA walipiga kelele miaka yote kuwa ni fisadi,iweje leo wampokee na kumpa nafasi ya kugombea urais? Povu liliwatoka kwelikweli.

Na jibu la CHADEMA lilikuwa moja tu,kwanini hamkumshitaki kipindi chote hicho? Kama ni fisadi ilikuwaje hajashtakiwa? Swali lilikuwa gumu sana kwa CCM. Tena ikafika kipindi Lowassa mwenyewe akasismama kwa kiburi na kuvimba akawaambia "mwenye ushahidi aende mahakamani". Sentensi hiyo ilikuwa ni msumali wa moto kwa CCM. Hawakwenda mahakamani hadi leo.

Sasa mahakama ya mafisadi imeanzishwa.CCM hawatakuwa na sababu tena ya povu kuwatoka kumtukana Lowassa kwenye mitandao ya kijamii. Tunategemea watafanya jambo moja tu,kumpeleka Lowassa katika mahakama hiyo. Kinyume na hapo hawatakuwa na "mandate" tena ya kumtukana Lowassa kwa sababu wananchi watawauliza "kama Lowassa ni fisadi mbona hapelekwi kwenye mahakama ya mafisadi? Hawatakuwa na cha kujibu. Kwa hiyo option pekee ya CCM na serikali yake ni kumfikisha Lowassa mahakamani,kinyume na hapo Lowassa atakuwa amewafunga goli la kisigino.

Kama wakimpeleka itabidi wawe na ushahidi wa kutosha kuweza kuthibitisha ufisadi wa Lowassa. Je ushahidi huo wanao? Kwa kitendo cha Lowassa kutamka kwa kujiamini kuwa mwenye ushahidi aende mahakamani,ni dhahiri ana uhakika hawana ushahidi huo. Kama hawatakuwa na ushahidi Lowassa atawabwaga katika kesi hiyo kuwaaibisha vibaya. Na huenda kupitia kesi hiyo wananchi tutamjua muhusika halisi wa Richmond alikuwa ni nani?

Mwanahabari Huru
Ulitegemea Lowassa awazuie?
Halafu huna haja ya ku pre empt mambo,wacha sheria ifuate mkondo
 
Wamekwisha, kwisneiii. Kagoda, Meremeta, Tangold nk Heri yake Balali aliyetangulia mbele ya haki.
 
Mbona ume panic sana mpaka unapita barabara ya vumbi nakuna lami? Jibu hoja hizo hapi juu
Rudia kusoma utaona nilichokijibu na nimeeleweka kwa wengi. unayo kawaida ya kutoa majawabu haya kwani huwa hujui nini cha kujibu kwasababu wewe ni kitumiwa tu huna utashi.
 
Back
Top Bottom