Mahakama ya mafisadi itawaumbua CCM

Mahakama ya mafisadi itawaumbua CCM

Nadhani ataunganishwa na yule aliyenunua kivuko feki,na yule aliyetwalia nyumba za serikali kwa wasio wafanyakazi,msisahau aliyeiitia hasara serikali kulipia kituo cha mafuta
Hatarudi tena huyo
 
Rudia kusoma utaona nilichokijibu na nimeeleweka kwa wengi. unayo kawaida ya kutoa majawabu haya kwani huwa hujui nini cha kujibu kwasababu wewe ni kitumiwa tu huna utashi.
Wewe ndio unautashi nusukijiko povu na matusi ndio yamekuja ndio maana unapuzwaga tu
 
Wewe ndio unautashi nusukijiko povu na matusi ndio yamekuja ndio maana unapuzwaga tu
Huwa hamna akili ya kupinga hoja niziandikazo kwani huwa mnazielewa bali huwa hamna majawabu. Huwa napata like za kumwaga kuthibitisha kuwa huwa nimeimaliza hoja ya kitumiwa wewe.
 
Watu wanalilia mahakama hiyo na mimi nasema na ije. Mtoto akililia moto mpe na akililia wembe mpeni na bila shaka chama cha mafisadi kitakuwa cha kwanza kufikishwa kwenye mahakama hiyo. Inashangaza ilivyopata jeuri ya kupora mali za wananchi na kuzihatamia kama zake tangia nyumba, viwanja, makampuni, shule n.k.

ccmafisadi-jpg.362979

Kwa miaka karibu arobaini CCM imelitafuna taifa mfano wa mchwa hashibi wala halali...
 
Ni dhahiri sasa mahakama ya mafisadi inaanzishwa nchini. Mahakama hii itakuwa na kazi moja tu,kusikiliza kesi za mafisadi na kuwahukumu.

Kwa muda sasa CCM povu limekuwa likiwatoka kwa madai kuwa Lowassa ni gwiji la mafisadi nchini,na kwamba CHADEMA walipotoka kwa kumpokea Lowassa. Kwamba haiwezekani mtu ambae CHADEMA walipiga kelele miaka yote kuwa ni fisadi,iweje leo wampokee na kumpa nafasi ya kugombea urais? Povu liliwatoka kwelikweli.

Na jibu la CHADEMA lilikuwa moja tu,kwanini hamkumshitaki kipindi chote hicho? Kama ni fisadi ilikuwaje hajashtakiwa? Swali lilikuwa gumu sana kwa CCM. Tena ikafika kipindi Lowassa mwenyewe akasismama kwa kiburi na kuvimba akawaambia "mwenye ushahidi aende mahakamani". Sentensi hiyo ilikuwa ni msumali wa moto kwa CCM. Hawakwenda mahakamani hadi leo.

Sasa mahakama ya mafisadi imeanzishwa.CCM hawatakuwa na sababu tena ya povu kuwatoka kumtukana Lowassa kwenye mitandao ya kijamii. Tunategemea watafanya jambo moja tu,kumpeleka Lowassa katika mahakama hiyo. Kinyume na hapo hawatakuwa na "mandate" tena ya kumtukana Lowassa kwa sababu wananchi watawauliza "kama Lowassa ni fisadi mbona hapelekwi kwenye mahakama ya mafisadi? Hawatakuwa na cha kujibu. Kwa hiyo option pekee ya CCM na serikali yake ni kumfikisha Lowassa mahakamani,kinyume na hapo Lowassa atakuwa amewafunga goli la kisigino.

Kama wakimpeleka itabidi wawe na ushahidi wa kutosha kuweza kuthibitisha ufisadi wa Lowassa. Je ushahidi huo wanao? Kwa kitendo cha Lowassa kutamka kwa kujiamini kuwa mwenye ushahidi aende mahakamani,ni dhahiri ana uhakika hawana ushahidi huo. Kama hawatakuwa na ushahidi Lowassa atawabwaga katika kesi hiyo kuwaaibisha vibaya. Na huenda kupitia kesi hiyo wananchi tutamjua muhusika halisi wa Richmond alikuwa ni nani?

Mwanahabari Huru

Mtoto wa kiume ambaye si rizki ni ngumu sana kujificha, mwenyewe anaweza kudhani anafanya kwa kujificha kumbe anavyolegezwa viungo na maungo yake kunatoa taswira yeye ni wa aina gani
 
Mbona Lowassa alikwisha sema yeye alikuwa anatekeleza maagizo kutoka juu sasa watampeleka vipi mahakamani, labda kama wanataka tumjue huyo mtu wa juu

Kitu kinasukuma nguo ya ndani kinataka kutoka na msalani kuna mtu! Tulia dawa iingie
 
Huo ni usanii mtupu. Kama kawaida yao wametafuta njia ya kuzitafuna kodi zetu tu. KWA sababu mie ninajiuliza majengo yana role gani ktk kuleta haki? Hao majaji waadilifu watawapata wapi? Mama ni walewale waliolamba kwa uncle/father tunajisumbua tu. Kinachotakiwa ni political willpower na tuache kulindana. Mtu akivurunda; regardless of his/her political status ni mahakamani tu. Lakini na watawala waache ku dictate na kuinfluence maamuzi ya mahakama. Hilo lingewezekana kama radium ya mzee wangu Sinde ingeheshimiwa. Lakini ndo hivyo pesa zimeliwa na watu wskacheza mdundiko mjengoni
 
...Na huenda kupitia kesi hiyo wananchi tutamjua muhusika halisi wa Richmond alikuwa ni nani?
Mwanahabari Huru
Hakuna jambo tunalisubiria Watanzania kama Lowassa kuburuzwa mahakamani na hilo limekuwa ombi letu la muda mrefu tukiwauliza CCM, mbona hammpeleki mahakamani na vyombo mnavyo? Siku hiyo wananchi wakae mkao wa kula kwani watapata fursa ya kujua alichoficha Mwakyembe kwenye taarifa yake. CCM wamekuwa wakijificha nyuma ya Lowassa na sasa mahakama itawaumbua kwa ulafi wao wa kula bila kunawa. Yuko jamaa anaitwa Ijabu Issa aliwahi kudai anaandika dissertation kuhusiana na swala la Richmond kama sehemu ya utafiti wake wa shahada ya uzamili kwenye chuo kimoja hapa nchini...Je alitumwa? Na nani? Sina hakika kama iliwahi kutolewa.

Hebu pitieni huu uzi niliouanzisha mwaka 2009;

Je, ripoti ya Mwakyembe kuhusu Richmond ilificha nini?
 
Kama CCM wataweza kuumbuana ili kujirekebisha ni bora kuliko wanaojiona ni "malaika" while kuna upuuzi mwingi na tunawapuuza kwavile hawako madarakani lakini tunataka kuwapa madaraka!
 
Ni dhahiri sasa mahakama ya mafisadi inaanzishwa nchini. Mahakama hii itakuwa na kazi moja tu,kusikiliza kesi za mafisadi na kuwahukumu.

Kwa muda sasa CCM povu limekuwa likiwatoka kwa madai kuwa Lowassa ni gwiji la mafisadi nchini,na kwamba CHADEMA walipotoka kwa kumpokea Lowassa. Kwamba haiwezekani mtu ambae CHADEMA walipiga kelele miaka yote kuwa ni fisadi,iweje leo wampokee na kumpa nafasi ya kugombea urais? Povu liliwatoka kwelikweli.

Na jibu la CHADEMA lilikuwa moja tu,kwanini hamkumshitaki kipindi chote hicho? Kama ni fisadi ilikuwaje hajashtakiwa? Swali lilikuwa gumu sana kwa CCM. Tena ikafika kipindi Lowassa mwenyewe akasismama kwa kiburi na kuvimba akawaambia "mwenye ushahidi aende mahakamani". Sentensi hiyo ilikuwa ni msumali wa moto kwa CCM. Hawakwenda mahakamani hadi leo.

Sasa mahakama ya mafisadi imeanzishwa.CCM hawatakuwa na sababu tena ya povu kuwatoka kumtukana Lowassa kwenye mitandao ya kijamii. Tunategemea watafanya jambo moja tu,kumpeleka Lowassa katika mahakama hiyo. Kinyume na hapo hawatakuwa na "mandate" tena ya kumtukana Lowassa kwa sababu wananchi watawauliza "kama Lowassa ni fisadi mbona hapelekwi kwenye mahakama ya mafisadi? Hawatakuwa na cha kujibu. Kwa hiyo option pekee ya CCM na serikali yake ni kumfikisha Lowassa mahakamani,kinyume na hapo Lowassa atakuwa amewafunga goli la kisigino.

Kama wakimpeleka itabidi wawe na ushahidi wa kutosha kuweza kuthibitisha ufisadi wa Lowassa. Je ushahidi huo wanao? Kwa kitendo cha Lowassa kutamka kwa kujiamini kuwa mwenye ushahidi aende mahakamani,ni dhahiri ana uhakika hawana ushahidi huo. Kama hawatakuwa na ushahidi Lowassa atawabwaga katika kesi hiyo kuwaaibisha vibaya. Na huenda kupitia kesi hiyo wananchi tutamjua muhusika halisi wa Richmond alikuwa ni nani?

Mwanahabari Huru
Mkuu amini nakwambia hiyo mahakama ya mafisadi ni kutaka kutumezesha sisi wananchi cd ya ...tumetekeleza ahadi zetu....inawezekana vipi mtafutaji wa mafisadi yaani CAG apunguziwe bajeti yake kipindi hiki abacho hiyo mahakama ndiyo inaazishwa?
 
Hii ninaifananisha na sumu iliyowekwa kuua kuku wa jirani wakati na wewe kuku wako ni wazururaji. Hapa tumejitega wenyewe na hukumu inaanzia ndani ya nyumba then nje. Hii mahakama inakwenda kusambaratisha chama fulani cha siasa hakuna ubishi kwani ndicho breeder mkuu wa mafisadi
Mkuu MVUMBUZI:Nafikiri umegusa penyewe kwani kwa kufuatilia hotuba za kilanja wetu utasikia ujumbe uliomo kwenye hotuba hiyo,ukifuatilia mikutano yake ya kuomba kura alitumia sana neno nipeni kura,tumeshuhudia akiwachana watawala waliopita wazi wazi!hivyo tusubiri na tuone chama fulani kusambaratishwa
 
Kelele za akina nape mwakyembe kwisha kazi
Tunataraji kupeleka kesi zadi ta 115 ambazo zaidi ya viongozi wa serikali maraisi wastaafu pamoja na huyu wa sasa watafikishwa mahakamani kwa tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka
Sasa kama watamzuia wasishtakiwe basi hakuna uhalali wac mahakama hi

Sizani kama kuna waziri
Mk mashirika ya umma
Igp
Wakurugenzj
Wizara ya ujenzi(hapa tutatumia ripot ya cag )
Afya
Aliekuwa amewaruhusu bandari kutofubga mashine za mita yaaan
Labda mniue
Ccm jiandaeni
Mkuu nimecheka kweli, yaani ukifuatilia hii mahakama ya mafisadi ni kitanzi cha wana ccm na mawaziri wake wote
 
Lowasa ni fisadi mkuu aliiba pesa za RICHMOND...Hata neno "fisadi " lilianzia kwa Lowasa...Lowasa hawezi epuka na kifungo...Muda si mrefu ataungana na mkwe wake Sioi Magereza Keko
1:Epa
2:Meremeta
3:mv dsm
4:uuzwaji wa nyumba za serikali
5:uuzwaji wa mashirika ya umma kwa bei ya kutupa mf nbc
6:Escrow
7:ufisadi wizara ya ujenzi
Tunashukuru sana mh rais magufuri kwa kutufungulia hii mahakama ya mafisadi
 
Kesi zishaandaliwa zaidi ya 300 kuhusu haohao CCM so wajiandae
Hii ndo itakuwa mwisho wao
Sheria wanatunga wao na tutakuja kuwachapia nayo hiyo hiyo
Wakome kupeleka wabunge ****** bungeni
Eti nae mtunga Sheria hahahahahahahaa kweli mmeishiwa
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh, mkuu sasa hivi ma ccm wameanza kupagawa
 
Ushahidi wa ufisadi wa lowassa utatolewa na lema,mbowe,Mnyika,lissu na Slaa
 
Nitawalinda walionitangulia(wastaafu) sasa mahakama ya nini sasa....alafu anakwambia WAZEE wametufikisha hapa tulipo eti anaamini vijana ndio si wala rushwa.
 
Ninavyojua maghu kafungua mahakama hii maalumu kwa ajili ya kuwafunga mafisadi wote watakaoiba kipindi cha utawala wake na siyo mafisadi wa serikali zilizopita
Mkuu awafunge wote hakuna cha kubagua tunachoomba sisi watanzania ni mh magufuli awafunge wote walio lifikisha taifa hapa tulipo
 
Lowasa ni fisadi mkuu aliiba pesa za RICHMOND...Hata neno "fisadi " lilianzia kwa Lowasa...Lowasa hawezi epuka na kifungo...Muda si mrefu ataungana na mkwe wake Sioi Magereza Keko
Akili za ccm nikama za huyu Jamaa,, kamtaja lowasa bt kamsahau chenge, tibaijuka and so on,, kweli vichwa vya awa Jamaa ni box
 
Back
Top Bottom