Mahakama ya kimataifa ya Uhalifu (ICC) yaitaka Belarus imkamate Rais wa Sudan atakapotembelea taifa hilo

comrade wetu

JF-Expert Member
Nov 5, 2018
964
605


Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imeaindikia Belarus na kuitaka kumkamata Rais wa Sudan, Omar al-Bashir atakayetembelea taifa hilo karibuni.

Rais huyo aliyeko madarakani kwa miaka 29, anakabiliwa na mashtaka ya uhalifu wa kivita, uhalifu dhidi ya binadamu na mauaji.


 
kitabu kipo kwa kiswahili, download bure kuhusu mahakama ya ICC
 

Attachments

  • MAHAKAMA YA ICC - THE HAGUE.pdf
    1,019.2 KB · Views: 1
Back
Top Bottom