comrade wetu
JF-Expert Member
- Nov 5, 2018
- 964
- 605
Mbona ya baba yangu haipo hapa? amehomha eh!
Baba yangu ameua sana naye akamatwe pamoja na kuwa ni baba yangu mzazi!Watakupa copy
Hahahah yani unakuwa Raisi wa taifa kubwa alafu bado eti kuna RB yako pending alafu ni ya kimataifa.Ingekua sikanyagi nchi za watu najifungia nchini mwangu kimya mpaka nistaafu, naenda kijijini tulii