Mahakama ya kadhi

Mahakama ya kadhi

ndugu yangu hata nami Chenge kaniacha nje - maana kamung'unya hapo na sijui katumia misamiati ya kisheria ambayo sie wengine tumeshindwa kumpata.

Aliempata tafadhali atudadavulie
 
Kama imepigwa chini watakuwa wamefanya jambo jema sana siku za usoni ingeweza kutuletea vurugu sana.
 
hahahaha nilimsikiliza sana kwa makini Chenge lakini sikuambulia lolote na PHD yangu. Amemungunyamungunya maneno na kuliacha likielea. Hakusema imewekwa au haijawekwa. Inaonekana hili limewawia gumu.
 
hahahaha nilimsikiliza sana kwa makini Chenge lakini sikuambulia lolote na PHD yangu. Amemungunyamungunya maneno na kuliacha likielea. Hakusema imewekwa au haijawekwa. Inaonekana hili limewawia gumu.

Litakuwa halijawekwa.Kawaacha watu njia panda anajua wengi hawatasoma Rasmu wengi watasema ndiyooooo hata bila kusoma
 
Piga chini hiyo.......sitta atawambia 'mmeleta mawazo mazuri, ni swala la kukaa tu tuone tutaliwekaje ili liandike historia ya nchi yetu, nitaongea na chenge tuliangalie kwenye sheria hapa hapana...hatutaki kutengeneza katiba ya hovyo hovyo ambayo haitampendeza mwenyekiti' hahaa ha haaaa, sisiem bado nakuchukia japo kuwa mmepiga chini hii mahakama isiyo kuwa na faida
 
hahahaha nilimsikiliza sana kwa makini Chenge lakini sikuambulia lolote na PHD yangu. Amemungunyamungunya maneno na kuliacha likielea. Hakusema imewekwa au haijawekwa. Inaonekana hili limewawia gumu.
PHD ni aina ya king'amuzi kama TING HD au ni kama zile degree za Kainerugaba?
 
Litakuwa halijawekwa.Kawaacha watu njia panda anajua wengi hawatasoma Rasmu wengi watasema ndiyooooo hata bila kusoma

Hehehehe, embu someni, mahakama ya kadhi imepitishwa kwenye katiba. tusubiri kuipigia kura ya ndio au hapana lakini imo kwenye katiba
 
Hata mimi Ule umumunywaji wa Maneno umeniacha hoi. Kama kura zingepigwa leo sijui ingekuaje! Why people can not be straight?. Kawaida kikiwa na umumunywaji wa Maneno kama yale inabidi Waislamu wawe very Careful. Something is stinking fish.
 
Hehehehe, embu someni, mahakama ya kadhi imepitishwa kwenye katiba. tusubiri kuipigia kura ya ndio au hapana lakini imo kwenye katiba
Hakuna kitu kama hicho soma ibara ya 40

Uhuru wa imani ya
dini
40.-(1) Kila mtu ana uhuru wa mawazo, dhamiri, imani na uchaguzi
katika mambo ya imani ya dini na anao uhuru pia wa kubadilisha dini, imani
yake au kutokuwa na imani na dini.
(2) Kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni
huru na jambo la hiari kwa mtu binafsi ilimradi hakiuki sheria za nchi.
(3) Shughuli ya uendeshaji wa jumuiya za dini itakuwa nje ya shughuli
za mamlaka ya Serikali.
 
Say noooooooooo!! to mahakama ya Kadhi.Mungu amesikia kilio cha watanzania wengi.
 
Hakuna kitu kama hicho soma ibara ya 40

Uhuru wa imani ya
dini
40.-(1) Kila mtu ana uhuru wa mawazo, dhamiri, imani na uchaguzi
katika mambo ya imani ya dini na anao uhuru pia wa kubadilisha dini, imani
yake au kutokuwa na imani na dini.
(2) Kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni
huru na jambo la hiari kwa mtu binafsi ilimradi hakiuki sheria za nchi.
(3) Shughuli ya uendeshaji wa jumuiya za dini itakuwa nje ya shughuli
za mamlaka ya Serikali.

cc MZIMU FaizaFoxy ccm hawajaweka mambo ya kadhi.
 
Last edited by a moderator:
Kuwepo au kutokuwepo kadhi si jambo la kuurudisha nyuma au kuupeleka mbele Uislam.

Waislam tutasonga mbele bila fujo na ukifika wakati, licha ya katiba, hukum zote zitakuwa za Kiislam, tena wataanza wao wenyewe, kwani Uislam ndio njia pekee ya kuishi hapa duniani na akhera.

Kama wanavyoanzisha Islamic banking bila kulazimishwa na hukum za Kiislam zingine zitashamiri kutokana na wao hao wapinga Uislam bila kulazimishwa.
 
... Kama wanavyoanzisha Islamic banking bila kulazimishwa na hukum za Kiislam zingine zitashamiri kutokana na wao hao wapinga Uislam bila kulazimishwa.
Huo mfumo wa banking si kwamba wenye mabank wanawapenda sana waisilamu, kikubwa hapo ni kwamba wanazipenda hela zao zaidi. Hapo wapo kibiashara zaidi, na wanajua namna ya kujipatia faida kupitia account za namna hiyo
 
Kuwepo au kutokuwepo kadhi si jambo la kuurudisha nyuma au kuupeleka mbele Uislam.

Waislam tutasonga mbele bila fujo na ukifika wakati, licha ya katiba, hukum zote zitakuwa za Kiislam, tena wataanza wao wenyewe, kwani Uislam ndio njia pekee ya kuishi hapa duniani na akhera.

Kama wanavyoanzisha Islamic banking bila kulazimishwa na hukum za Kiislam zingine zitashamiri kutokana na wao hao wapinga Uislam bila kulazimishwa.

Waislamu huwa tunauzana wenyewe kwa wenyewe.

Kesho atatafutwa mkristo wa kutupiwa lawama hakikosekana atasemwa Nyerere.

Kina Kundecha kimyaaaa baada ya kujazwa posho, Profesa Njovu aliandika mpaka kitabu kujifanya ana uchungu na dini, leo yupo wapi??
 
wakristu hii mahakama ya kadhi inawawashia nini tena?
 
Back
Top Bottom