Mahakama ya kadhi yatinga bungeni tena leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahakama ya kadhi yatinga bungeni tena leo

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Gama, Jun 27, 2012.

 1. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Naangalia kipindi cha bunge saa hii na kuna mbunge anachangia. Anataka mahakama ya kadhi ilejeshwe. Utetezi wake ni kuwa mbona majirani zetu Kenya wanayo?, utetezi mwingine ni kuwa, kama imewezekana kwa kenya na India ambako waislam hawazidi asilimia 16 kwa nini haiwezekani Tanzania ambako waislam ni zaidi ya asilimia 65
   
 2. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160

  hvi tuna kipengele cha dini kwenye sensa eeh...:argue:
   
Loading...