Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

Mungu ana utatu mtakatifu,Mungu Baba,Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu,hii philosophy itawapa tabu sana waislam kuielewa,mkitaka kuielewa,badili dini upate mafumdisho ya kiroho utaielewa.
ulileta mabishano,itakusumbua sana kuielewa...
 
kwa kifupi,Mungu anafanya kazi na team work,ndio maana hata ibris alipozingua,alifukuzwa.
Bibilia inasema,Mungu alipk ona wanadamu tumepotoka duniani na tunafanya yaliyo chukizo mbele zale,aliuliza,nimtume nani akaokoe wanadu,hii inamaanisha alikuwa aliongea na team yake,Yesu akasema nitume mimi.
ugumu ukaja,aje vipi?
Mungu akaona ni lazima azaliwe kwa uwezo wa Roho Mtakatifu kupitia mwanamke Bikira,mcha Mungu nae ni Bi Mariam.
ukiangalia hapo,utaona utatu umekamilika,Mungu Baba,Mungu Mwana na Roho Mtakatifu aliye tengeneza Mimba ya Yesu ndani ya tumbo la Bi Mariam,Yesu akazaliwa,akafanya aliyo tumwa na leo tuko huru...
 
Mungu ana utatu mtakatifu,Mungu Baba,Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu,hii philosophy itawapa tabu sana waislam kuielewa,mkitaka kuielewa,badili dini upate mafumdisho ya kiroho utaielewa.
ulileta mabishano,itakusumbua sana kuielewa...

Wewe mwenyewe unashindwa kuelewa hio theory.
1. Muungu baba ndio yupi na yupo wapi ? Mbona yeye hakuna sanamu yake
2. Mungu mwana ndio yesu aliekufa sawa huyu angalau mnajua mme mfanya masanamu kila designs
3. Roho takatifu ndio yupi na yupo wapi sasa hivu ?

Ni vigumu kuelewa you are right kwani suala la muungu ni muumba ni straight forward sasa unaleta theory kama za karl marx .
Unajua msichojua ni kuwa wayahudi walimpinga yesu mtume kwa vile hawakupenda tena amri za mungu hivyo walifanya mbinu yesu auliwe Mungu akamhifadhi na njama zile .
Mayahudi hawa kuishia hapo wakakaa wakapanga mbinu kuifuta dini ya yesu hivyo mbinu zikapangwa kuwaua wafuasi wake na wanafunzi wake.
Mmoja ya wauaji hao ni paulo ambaye alipata baraka za dola .
Hili mnalijua ni history iko documented halina ubishi.
Walipo bakia wafuasi wachache na maandishi ya injili mengi kuchomwa sasa next ikapangwa mbinu kubwa zaidi kui potosha dini ya yesu iandikwe upya . Mayahudi wakampa kazi hiyo paulo na ndie akaja na urongo ati katokewa na yesu.
Wakamkabidhi andiko la kupotosha la baba mwana na roho takatifu
Yeye ndie mwanzilishi wa dini hii mpya ya roho takatifu . Hii sio dini alofundisha yesu
Paulo alifanikiwa na mpango ule ulisimamiwa sawa sawa kwa propaganda za kiyahudi hatimae constatine kwa ushawishi wa mayahudi aliwaita makasisi wote walokuwa ndani ya himaya yake kuja kutengeneza dini upya na kuchagua ipi inafaa. Upaulo ukafaulu na ikaamriwa mengine yote yachomwe moto na ndio mwanzo wa kuja na upapa na walopinga wakabamizwa.
Hii ni history ipo na kanisa inaitambua .
Wakati wa yesu kuna makasisi wengine waligoma ndio tukapata wasabato na coptics .

Hivyo ni vyema tukawaita nyie mnafata Upaulo na dini yenu ya 3 dudes kuwa ni paulism.
Haina uhusiano hata chembe na yesu hata chembe.
Yesu alikuja kukataza dhambi na kufanya mema kuacha dhulma na kumuomba Mungu.
Paulo alikuja na theory ya kuwa hamna dhambi . Yesu kasepa na dhambi zenu hivyo mume samehewa na kuwa israel ni taifa teule na hilo ndio walotaka wayahudi wakakuacheni ujingani wao wakawa wateule wakabaki na mungu wao.
Leo ni sherehe ya wafuasi wa Upaulo
 
[h=2]ADAM na HAWA Hawakuwa Waislamu[/h]
Ndugu zanguni, leo nataka kuwafahamisha Waislam kuwa,ADAM na HAWA hawakuwa waislam kama ambavyo wanavyo dai.

Ngoja nikusaidie kidogo:

Hivi unafahamu kuwa Uislam ulianzishwa na Muhammad na haukuwepo kabla yake?

Uislamu ambao ulianzishwa na Muhammad, Mtume wa Allah (s.w.t.) mnamo mwaka 610 A.D. huko Makka, na ulikamilishwa kwa msaada wa binamu yake, mshiriki na mshikamakamu wake, Ali ibn Abi Talib, mnamo mwaka 632 A.D. hapo Madina. Inahusisha kipindi cha miaka tisini kuanzia 570 A.D. wakati yeye Muhammad alipozaliwa huko Makka, hadi mwaka 661 wakati mrithi wake, Ali ibn Abi Talib, alipouawa huko mjini Kufah.

Kama unabisha nijibu yafuatayo:

1. Nionyeshe neno au jina "ISLAM" katika Taurat aliyo iteremsha Allah kwa Mousa kabla ya Quran.
2. Nionyeshe neno au jina "ISLAM" katika Zaburi aliyo iteremsha Allah kwa Daoud kabla ya Quran.
3. Nionyeshe neno au jina "ISLAM" katika Injil aliyo iteremsha Allah kwa Yesu kabla ya Qurann.

Kumbuka: Sina Muda na aya za Quran, maana Quran sio mkusanyiko wa vitabu "BIBLIA. Mimi nijibu kwa kutumia Taurat, Zaburi na Injili alizo ziteremsha Allah kabla ya Quran kuteremshwa kwa Muhammad.

Kama kuna Muislam yeyote yule hapa duniani atanionyesha "UISLAM" na au jina UISLAM na au neno UISLAM katika hivyo vitabu, LEO HII MIMI NITASILIMU NA KUWA MUISLAM.

Karibuni kwa Yesu aliye hai na Mungu Mkuu.​
 
ADAM na HAWA Hawakuwa Waislamu

Mkuu tukupe jina la uislamu kwenye Taurati na Injil wakati hicho kitabu cha biblia kishabadilishwa mara 200 kidogo hapa hoja ni jee yesu mungu waislamu wanakataa sio mungu nyinyi mnasema mungu wakati yesu mwenyewe anakataa kuwa sio mungu nazipo aya clear kabisa katika biblia yenu
 
Soma maswali yangu kwa makini:

1. Nionyeshe neno au jina "ISLAM" katika Taurat aliyo iteremsha Allah kwa Mousa kabla ya Quran.
2. Nionyeshe neno au jina "ISLAM" katika Zaburi aliyo iteremsha Allah kwa Daoud kabla ya Quran.
3. Nionyeshe neno au jina "ISLAM" katika Injil aliyo iteremsha Allah kwa Yesu kabla ya Quran.
 
Nitakuoneshaje wakati biblia mushainajisi taurati kwani ipo kwenye biblia na hii ndo sababu ya kushuka kwa quraani mungu wa kweli alipoona munajiandikia yale munopenda nyinyi tofauti na alivyofundisha
 
kuaanzia aya ya kwanza Al Fatihah mpaka aya ya mwishoya 114,Maryam Mama wa Yesu ndo Mwanamke pekee aliye pewa Aya katika Kuran.
Swali,kwanini Kuran ina uzungumzia sana Ukristo?,kwanini inamtaja sana Yesu na Mama yake Maryam?
ukiangalia aya ya 19 inaitwa Maryam,aya nzima inamsifia Mariam,kwani Mtume hakuwa na Mama?,si ingempa yeye nafasi hiyo?
NDANI YA KURAN KUNA UKRISTO LAKINI NDANI YA BIBLE HAKUNA UISLAM.
Pima mwenyewe utajua Dini ya kweli ni ipi.
 
Unajua hakuna dini mpya duniani.
Hakuna amri mpya zaidi ya zile za Musa.
Kuna misimamo mipya ya kiimani kutokana na mafundisho yaliyokuwepo.
Musa alikuja na mafundisho na taratibu za mwanadamu kujitawala chini ya sheria. Kila alilosema lilijulikana kuwa limetoka kwa Mungu kwani.

Yesu alikuja kuleta utawala wa Mungu duniani kwa kuwa Utawala wa shetani ulishindwa. Hali kadhalika utawala wa binadamu ulishindwa.

Yesu alikuja ili watu wamwone Mungu kwa vitendo.
Yesu alirejesha utawala wa Mungu uliopokonywa na shetani baada ya kumshinda Adamu aliyekuwa amepewa mamlaka ya kutawala dunia kama mwakilishi wa Mungu.

Yesu akijiita mwana wa Adam aliweza kurudisha utawala wa Mungu uliotekwa na shetani.

Akawatahadharisha kuwa shetani ana uwezo wa kuwadanganya wanadam ili aendelee kutawalawa .Akasema kwamba shetani anaweza kujifanya kuwa ni Malaika wa Nuru(Jibril au Gabriel) na kuwadanganya watu na kuwafanya waamini wamwamini na kuufuata ufalme wake.
Yesu alionya juu ya kutokea kwa manabii wa uongo watakao wadanganya watu wengi.

Yesu pia alionya juu ya watu watakao kuwa na misimamo mikali ya kuwaua wote waliomwamini kwa kisingizio cha kumtolea mungu wadaka au ibada.
Yote haya Yesu aliyaona kuwa yatatokea .
Yesu alijua ugumu wa binadamu wa kumtofautisha Mungu muumba wa vitu vyote na mungu wa dunia aliyekimbilia kuzimu yaani shetani.
Yesu alijua kuwa shetani anatambuliwa kwa matendo yake maovu.

Tangu mwanzo shetani alipingana na kila jambo lililoanzishwa au kufanywa na Mwenyezi Mungu Muumba.
Alipoumba mwanadamu pia alitamani kumwaona mwanadamu akiishi maisha ya kitumwa na sheria kali.Alimtumia Kaini kumuua Habili aliyekubaliwa na Mungu ukawa ni mwanzo wa binadamu kumuua binadamu mwenzake kwa lengo la kugombania kukubaliwa mbele za Mungu.

Kila imani ilipopungua ndipo shetani aliojitokeza kama suluhisho na kuwapoteza wanadamu.
Sara alipokosa imani ya kupata mtoto shetani akapata nafasi ya kuleta suluhisho na akapatikana Ishmail. Ukawa mwanzo wa kizazi chenye kulalamika kisingizio cha kuonewa mpaka leo.

Yesu alipoondoka imani ikapungua kwa wakristo wengi,wakajichanganya na watawala wa dunia na kusahau kazi kubwa ya kuliombea kanisa na kuishi kwa nguvu ya Roho Mtakatifu matokeo yake ni kutokea kwa Uislam.Dini iliyokuja na muhtasary wa Historia ya dini ya Ibrahimu, Torati ,Zaburi , Injili na mila za watu wa mashariki ya kati.
Shetani akafanya jitihada kubwa ya kurejesha utawala au ufalme wa binadamu kwani kwaka huu ufalme wa binadam ni rahisi kuuharibu kuliko ufalme wa Mungu ulioachwa na Yesu.
Ndio maana utasikia waislam wakisema kuwa uislam ni mfumo kamili wa maisha ya mwanadam.Mfumo huu wa mwandamu unatumiwa kirahisi mno na shetani kumwangamiza binadamu na kutimiza malengo ya shetani.
 
wanasema Islam is the Religion of Peace.
sawa sasa hili la Sunni na Shia huko Middle East kuchinjana kama kuku ndo Peace hiyo?
hili la Boko Haram na Alshabaab na ISIS kutumia jina la Mwenyezi Mungu kuuwa watu ndo Peace hiyo?
alafu ni kwanini halikemewi hili na Waislam wenyewe hata hapa Tanzania?,kiukweli wakisikia Wakristo walitengwa huku na Waislam wakatengwa huku,alafu Wakristo wakauliwa,wengi huwa wanafurahi,naishi eneo ambalo Uislam upo kea asilimia zaidi ya 80,wanafutahishwa na hili ndo maana nakerwa na hii dini na siipendi kabisa.
 
Ukimaliza kuzungumzia ISIS na Alshabaab pia zungumzia NRA, LRA, etc...

Hizo organization sio za dini... ni watu wenye kasumba zao tu!!!
 
NRA na LRA huwezi fananisha na ALSHABAAB,BOKO HARAM na ISIS,ulisha wai ona mahubiri ya NRA au LRA?
lakini haya ya ALSHABAAB,BOKO HARAM na ISIS tunayaona kila siku,wameshika Koran,wanaswali kwa jina la Allah na wanachinjwa Watu,na hawakemewi.zaidi mnatangaza kuwa Islam lazima itawale Dunia,Mtasubiri sana...
 
Mbona watu wenye imani ya kislam wanaonekana kama wanatetea haya makundi ya kigaidi?
 
Soma maswali yangu kwa makini:

1. Nionyeshe neno au jina "ISLAM" katika Taurat aliyo iteremsha Allah kwa Mousa kabla ya Quran.
2. Nionyeshe neno au jina "ISLAM" katika Zaburi aliyo iteremsha Allah kwa Daoud kabla ya Quran.
3. Nionyeshe neno au jina "ISLAM" katika Injil aliyo iteremsha Allah kwa Yesu kabla ya Quran.

Nadhani hawa watu hawajui kuwa hakuna kitabu kilichoachwa na Muhamadi kinachoitwa korani.Huyo Muhamadi hakujua kusoma kabisa.
Yale mashairi aliyokua ameyakariri kama ngonjera yalisemekana kuwa ni wahyi toka kwa Allah.
Watu waliyakariri yale mashairi na kuyatumia kupiga vijembe dini na mila za watu wengine na kutukuza itikadi yao mpya.

Mashairi yote ya Korani mwanzo mwisho hayana wingi wa mistari na vina kama kitabu kimoja cha bibilia kinachoitwa Zaburi.
Ni mashairi yasiyo na majibu zaidi ya kukimbilia vitabu vya hadithi za mtume na kusoma bibilia kwa lengo la kuimba mashairi yao kwa vijembe.

Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vyenye historia ya uumbaji wa mwanadam,kuingia kwa dhambi na uasi,utawala wa wanadamu,ukombozi wa mwanadam,kuja kwa ufalme au utawala wa Mungu,kuanza kwa ulimwwngu mpya unaoongozwa kwa Roho mtakatifu,na vita ya kuangusha ngome za shetani.

Korani na uislam na shetani wanajaribu kurudisha utawala wa mwanadamu ulioanguka na kushindwa kuwafanya watu wamjue Mungu asiyeonekana kwa macho.
Kamwe hawataweza kuushinda ufalme wa Mungu ulioletwa na Kristo Yesu Mwana wa Mungu.

Wanasema biblia imechakachuliwa bila kutaja mistari ipi iliyobadilishwa.

Kuna haja gani ya kubadili biblia ili hali hata wakristo wenyewe wengi inawahukumu kuwa wameshindwa kuifuata na hilo kila mkristo anayeisoma anajua kabisa kwamna hapa bado sijakamilika kuishika na kuifuata biblia inavyosema.

Biblia imefanyiwa marekebisho ya kitafsiri kutokana na kukua kwa teknolojia na kupotea kwa baadhi ya lugha na maana ya maneno ya zamani kutofautiana tafsiri au kupatikana kwa ushahidi wa kisayansi unaotoa uhakika zaidi wa wapi na nini hasa kilitokea.
Hakuna uchakachuaji wa kimaudhui. Ndio maana hata kitabu cha ufunuo wa Yohana hata waislam wenye ujanja wa kinajim hawana pa kusoma ili kujua majira na nyakati za kutimia kwa unabii zaidi ya kitabu cha ufunuo.Kinachojibu mambo na ratiba sahihi ya matukio ya dunia nzima bila kukosea.

Hakuna mtu anayeweza kubadili maudhi ya biblia kwani wakristo miaka yote wamekua na mivutano juu ya mitizamo ya kinabii ndani ya biblia.Kwa hiyo kila mmoja amekua ni mlinzi wa maudhui ya pamoja yanayohusu uumbaji wa Mungu ,kuzaliwa ,kufa ,kufufuka,kupaa na kushuka kwa roho mtakatifu.

Mfano simu ya kwanza au komputer ya kwanza ingebaki kama ilivyo mpaka leo kama sio kufanyiwa marekebisho na tafiti mbalimbali bila kuathiri malengo yaliyokusudiwa.Leo hii tuna computer na simu bora zaidi.
Vitabu vyote vya dini vimetokana na masimulizi kwani zamani hapakua na viwanda vya kuchapa vitabu. Hivyo wakristo na wanatheolojia walikusanya masimulizi mbalimbali na kuyachambua kwa kina na nyaraka mbalimbali zenye kumbukumbu za matukio ya kiimani kisha wakayaunganisha ili kuyaweka katika mtiririko mzuri na aya mbalimbali zinazosomeka kwa urahisi.
Huu ndio ufalme wa Mungu .
Yaani Mungu siku zote anafanya kazi na watu wake na anawafundisha mbinu mpya ili waislam na Shetani anayejiita Allah asije akarudisha utawala wa kibinadamu na wakishetani ulioangushwa na Yesu mwenyewe.
 
It is a sad world indeed if you believe this nonsense you just sprouted. ..
 
Back
Top Bottom